Mwendokasi imetuletea Taabu Ya Usafiri

Sielewi mkuu, ila ndivyo ilivyo, 1050 huna hufiki town
Na jana nimemsikilza sijui ni nani yulee kutoka udart efm akizungumzia akasema tena nauli ukikata moja kwa moja mbezi-posta/Morocco ni 800
 
Tatizo nauli ni ndogo kiasi kwamba wakisema wayaendeshe kistaarabu na kwa kutokujaza Abiria basi watapata hasara. Serikali ilitakiwa itoe Ruzuku kwenye huu mradi kama vile kuwapunguzia kodi au kuwaondolea kodi kwenye Mafuta. Na kingine UDART wanatakiwa waongeze kadi ili kupunguza foleni za kukata tiketi, pili Polisi wawekwe kituoni ili kusimamia ustaarabu wa kupanda na kushuka.
 
Kwa ujumla Dar Kama jiji ina huduma hafifu sana kwa wakazi wake, siyo kwenye usafiri tu.
 
Bila shaka wewe ulikuwa mtalii wa ndani,
 
Huko kwenye mwendo kasi kama kwenye management kuna wahindi basi ni sawa haya matatizo kutokea maana watahakikisha gharama za uendeshaji zinapungua kwa gharama zozote zile.
Kama ni mzungu hajapa ushauri
Wote wa Tanzania mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…