Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,053
Pole sana kwahiyo ukaenda peku mguu mmojaMwendokasi jamani
Juzi nimeacha kiatu changu kimara mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwahiyo ukaenda peku mguu mmojaMwendokasi jamani
Juzi nimeacha kiatu changu kimara mwisho
utakuwa na hisa huko kwahiyo inakuchoma mpaka moyoni.Nunua gari yako au Kodi gari Private ule upepo wa A.C,umelipa nauli 650 unakuja kulialia hapa, Foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha avae kimoja? Wallah JF sihami😭😭😭Kivae tu mkuu
Mkuu, kulipa nauli ya Shs 650 isiwe sababu ya mtu kunyanyasika.Nunua gari yako au Kodi gari Private ule upepo wa A.C,umelipa nauli 650 unakuja kulialia hapa, Foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua gari yako au Kodi gari Private ule upepo wa A.C,umelipa nauli 650 unakuja kulialia hapa, Foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
Foolish,unalipa 600 afu unataka treatment za high class,chukua uber au nunua gari yako,huo Ni usafiri wa umma usilazimishe treatment za Hali ya juu kwa pesa ndogoThis is the most idiotic comment I have had a misfortune of reading. Kwa kuwa amelipa Shilingi 650 ndio apate huduma mbovu? Wewe ni primitive to the core, na kutokana na ulichokiandika hapa umethibitisha kuwa wewe ni mshamba hasa.
Foolish,unalipa 600 afu unataka treatment za high class,chukua uber au nunua gari yako,huo Ni usafiri wa umma usilazimishe treatment za Hali ya juu kwa pesa ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Panda uber
Mkuu, wabongo ndo hatuelewi, yaani ustarabu ziro, kwani kama basi limejaa ni lazima upande? Vitu vingine vya kujiongeza na kutumia akili tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mi ng'ombe aiseeWananchi ndo tunaendekeza hiyo hali,,,sisi nao wambwege tu
Aisee mi naona hata ng'ombe wana afadhali! wanapangwa vizuri tu kwenye fuso kutoka Shinyanga na wana relax fuleeesh... lakini nikiwatazama wale binadamu walivyominyana kwenye yale magari daaaaah!!!! Inasikitisha sana!!!!!Yaani sisi ni mabwege sana " ... tunaburuzwa tu nakupelekwa kama ng'ombe
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni kichekesho tosha ... kwakweli unaweza kutoka nyumbani ukiwa smart lakini unakuja kufika huko unapokwenda ukiwa unanuka Jasho sio la nchi hiiAisee mi naona hata ng'ombe wana afadhali! wanapangwa vizuri tu kwenye fuso kutoka Shinyanga na wana relax fuleeesh... lakini nikiwatazama wale binadamu walivyominyana kwenye yale magari daaaaah!!!! Inasikitisha sana!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app