chai_nazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 388
- 377
Iran washakuharibu tayariNunua gari yako au Kodi gari Private ule upepo wa A.C,umelipa nauli 650 unakuja kulialia hapa, Foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran washakuharibu tayariNunua gari yako au Kodi gari Private ule upepo wa A.C,umelipa nauli 650 unakuja kulialia hapa, Foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nilipanda siku moja tu nilikuwa nawahi boat ferry, nilijuta!!!! Mpaka leo nabaki kuyatazama tu barabaraniYaani ni kichekesho tosha ... kwakweli unaweza kutoka nyumbani ukiwa smart lakini unakuja kufika huko unapokwenda ukiwa unanuka Jasho sio la nchi hii
Sent using Jamii Forums mobile app