Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,957
- 183,568
Hivi unajua utakufa mdomo wazi!! Niachie kaboom wangu jamani, ile ndio heart beat ujue.
Hivi unajua utakufa mdomo wazi!! Niachie kaboom wangu jamani, ile ndio heart beat ujue.
Kuna watu wana gundu ni balaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haswaa, nimelithibisha...
Hivi QUIGLEY mpaka saa hii hujatajwa? Kaogee tu magadi maana hakuna namna nyingine..
Nimeangalia nkaona since July 1 2016 kama sijakosea[emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hata hivyo inaonekana mpya ile id kwa idadi ya post
Umeona eeh. Hii ndio JF kakaNimeangalia nkaona since July 1 2016 kama sijakosea[emoji23] [emoji23]
[emoji7]
Sema tena
Ni balaa...Umeona eeh. Hii ndio JF kaka
[emoji106] [emoji106] [emoji106]Ni balaa...
Mkipata mjukuu wa kike msinisahau.....Mkuu old blood ulipotea sana hadi twakaribia pata wajukuu.
Sumbai aliitesa ndoa lakin sasa imetulia
Poa brother.[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Yaani na wewe unachochea moto!![emoji134] [emoji134]Sema tena
Hahaha ongea na mumie p123Mkipata mjukuu wa kike msinisahau.....
Yeah, nina upendo wa kutosha kwa kila mtu, hata wewe mkuuUpendo wako ni mkubwa maana naona wengi