Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Last edited by a moderator:
Mkipewa makavu live hamtaki... eti tuyabane moyoni... Tukiwaongopea ili mtoe mzigo mnalaumu, sasa tufanyeje na magenye yanatuhangaisha?Wanaume saa ingine muwe mnayabana mioyoni.......yafuatayo ni maneno ya mkaka baada ya kuandamwa kuhusu utambulisho
"Ndo kwanza mna wiki 8 unaanza kumuuliza maswali kibao,ooh utanioa lini,lini unakuja kumuona mama..Mamako mwenyewe alisubiri Posa miaka 6 kutoka kwa babako,tena kwa heshima zote kwa kuvaa sketi za vitenge na kaniki ndefu hadi chini,we unaulizia ndoa kutwa unavaa vibwaya na sketi fupi huku umebetua nyonyo nje muda wote kama unanyonyesha MAKURUTA wa JKT halafu unataka ndoa..Haraka za nini kama unadoea Pilau ya Hitima kwa jirani,Tulia,Ndoa haiombwi na haiji ghafla kama Kifafa cha Mimba,Mwanaume ukimsuuza roho yake ataomba mwenyewe kuja kwa wazazi..Invest kugusa moyo wake na sio kuomba pete kama unaagiza wali kwa mamantilie!"
waambie hao ooooh wanarembua na sauti kabisa baby unakuja lini nyumbani wakati ndo wana wiki moja hehehehehe wa kuwowa wanakuja kirahisi rahisi hivyo.
LoooooolllWanaume saa ingine muwe mnayabana mioyoni.......yafuatayo ni maneno ya mkaka baada ya kuandamwa kuhusu utambulisho
"Ndo kwanza mna wiki 8 unaanza kumuuliza maswali kibao,ooh utanioa lini,lini unakuja kumuona mama..Mamako mwenyewe alisubiri Posa miaka 6 kutoka kwa babako,tena kwa heshima zote kwa kuvaa sketi za vitenge na kaniki ndefu hadi chini,we unaulizia ndoa kutwa unavaa vibwaya na sketi fupi huku umebetua nyonyo nje muda wote kama unanyonyesha MAKURUTA wa JKT halafu unataka ndoa..Haraka za nini kama unadoea Pilau ya Hitima kwa jirani,Tulia,Ndoa haiombwi na haiji ghafla kama Kifafa cha Mimba,Mwanaume ukimsuuza roho yake ataomba mwenyewe kuja kwa wazazi..Invest kugusa moyo wake na sio kuomba pete kama unaagiza wali kwa mamantilie!"
Wanaume saa ingine muwe mnayabana mioyoni.......yafuatayo ni maneno ya mkaka baada ya kuandamwa kuhusu utambulisho