Mweeeeehhh! Watalii wanaona mengi.

Mweeeeehhh! Watalii wanaona mengi.

hiyo picha ya tembo imeniacha hoi, wakaamua kucheza mchezo mchafu huku wamebeba watu.
 
Oooh sana... waENJOY aisee!! Ila hapa kwenye hili bango sina uhakika kama wanaambulia chochote..."MOTORISTS BEWARE BIG GAME CROSSING ROAD"Kwa vile na humu watalii wamo hebu tujuzenu huyu anasemaje hapa??!
 
38139_128082567235992_100001027471298_159839_1960691_n.jpg
hata mimi nataliigi
 
Back
Top Bottom