Ukioa huyo sipati picha hivyo vichapo vyake ukimletea zengwe.
Maninja huwa wanakula kiapo kutopigana na watu wasio maninja labda tu pale inapobidi au anapokuwa kazini au kama ni lazima self defence iinvolve uninja!!
hao ndo safi kwa kuoa sasa...ukipita nae njiani vibaka wakikufata anawachapa afu na wewe unatia mkwara: huyo ni mke wangu tu..nikija na mimi ntawaua nyinyi..pumbafffff...!!! afu unamshika kiuno hao mnakula kona...heshima juu...!!lol..
Ukioa huyo sipati picha hivyo vichapo vyake ukimletea zengwe.
yaan kazi yako ni kutii sheria tu...lol
yaan kazi yako ni kutii sheria tu...lol