Mwe! Kitu cha ubungo - gongolamboto wageni mtaiweza hii!

Mmmm wenye magari hawana budi kuweka chuma kwenye madirisha hayo ili kunusuru vioo vyao hivyooo, poleni sana wakazi wa huko
 
Mtu wa Arachuga hawezi mziki huo akiingia atajikuta hana simu na nauli
 
Kwa kweli usafiri wa kutoka posta, Ubungo kwenda Gongolamboto unachangamoto sana.Mara nyingi nilikuwa nalipa nauli mara mbili ili nipate nafasi ya kukaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…