Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Kila askari anahitajikaWakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
Wapi katafuta umaarufu ?Huyu nae vipi?. Siku zote alikuwa wapi? Mbona sasa anatafuta umarufu kupitia Mgongo wa CHAUMA CHOPA?
Wakati wa CHAUMA ubwabwa hata hakujulikana.
Jamaa amewaasisieni chama hicho hapo. Nendeni mkakiharibu wenyewe sasa.Huyu nae vipi?. Siku zote alikuwa wapi? Mbona sasa anatafuta umarufu kupitia Mgongo wa CHAUMA CHOPA?
Wakati wa CHAUMA ubwabwa hata hakujulikana.
kuna wehu wameenda kupakaza kinyesi chaumma amekwepa kinyesiHuyu nae vipi?. Siku zote alikuwa wapi? Mbona sasa anatafuta umarufu kupitia Mgongo wa CHAUMA CHOPA?
Wakati wa CHAUMA ubwabwa hata hakujulikana.
You can see he is genuineWakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
Huyo kwl ni zaidi ya kahaba, si majuzi tu alijiunga ACT-Wazalendo? Sasa huyo nyau ana impact gani, nani anamfahamu? Naye kilichomwondoa ni CHAUMMA kupata wanachama wapya? Kwa hiyo ye hakutaka Chama chake kikue? Huyo ndio alikuwa mchawi wa CHAUMMA sasa ameumbuka uchawi wake umebumaWakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
CHAUMA ya Sasa na ya enzi zake ipi inasikika?kuna wehu wameenda kupakaza kinyesi chaumma amekwepa kinyesi
SafiWakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
Hahahaha! Mimi mwenyewe najiuliza. Huko nyuma nilikuwa najua mwanzilishi ni Rungwe na CHAUMMA ilikuwa ni mali yake kumbe wapo waanzilishi wengine.Huyu nae vipi?. Siku zote alikuwa wapi? Mbona sasa anatafuta umarufu kupitia Mgongo wa CHAUMA CHOPA?
Wakati wa CHAUMA ubwabwa hata hakujulikana.
Naona kautamaduni kakuitana kenge, viumbe, nyau… kakishamiriHuyo kwl ni zaidi ya kahaba, si majuzi tu alijiunga ACT-Wazalendo? Sasa huyo nyau ana impact gani, nani anamfahamu? Naye kilichomwondoa ni CHAUMMA kupata wanachama wapya? Kwa hiyo ye hakutaka Chama chake kikue? Huyo ndio alikuwa mchawi wa CHAUMMA sasa ameumbuka uchawi wake umebuma
Bendera tu huyu, he is an opportunist.View attachment 3355833
Mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Eugene Kabendera leo Jumatano, Juni 4, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mei 27, Kabendera alitangaz akujiondoa CHAUMMA kwa kile alichosema kuwa ni kukiukwa kwa msingi ya chama hicho, ambacho nacho kimepokea waliokuwa makada wa CHADEMA waliokuwa wameunda kundi la G55.
Kabendera ametambulishwa mbele ya waandishi wa habari na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Aman Golugwa, makao makuu ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Ana undugu na yule Kabendera mwenye hasira na mwendazake?Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche