Sijui kwa nini wazee ni waoga wa maisha...mtu hana msimamo wala hajulikani anachoamini ni nini...
CDM wamenitoka lakini huyu mzee ndio kaniacha hoi
Hamna lolote...hawa ni design ya Dr Rutengwe aliyekuwa anajiliza kuwa familia inamtegemea...huku anakaribia umri wa kustaafu bado anategemea ajira serikalini...Siyo kwamba ni waoga hao wazee wanajua mengi sana kuliko wewe na mimi, hivyo mpaka Mzee kama huyo kuchukuwa uamuzi aliochukuwa ukizingatia uzoefu wakke wa kisiasa ndiyo utambue kwamba kuna kitu ambacho mimi na wewe hatukifahamu!
Angebakia kwa Lowasa haya mambo angeyasikia tu kwenye bomba, chezea Dola!