Mwaonekano wa Daz Baba mtaani

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
WhatsApp Image 2017-01-06 at 1.04.34 PM (1).jpeg


Msanii Daz baba kama alivyopigwa picha akiwa anaburudika mtaani
Kwa wasio mjua alikuwa msanii wa Bongo fleva aliyefanya vizuri miaka ya 2000s
Baadhi ya nyimbo zake
Wife

Nipe Tano

Namba nane
..
 
Huyu jamaa nilikuwa namkubali sana! Lakini pia nahisi alianza kutumia madawa mapewa sana akingali anawika kimziki, miaka ya 2005 alikuja Moro nilivyoumuona nikajua huyu jamaa anaelekea kubaya! Ila nilikuwa fan wake aisee, "Dazi baba nishakuwa mtu mzima mieee"
 
juzi.kati hapo mange alipost pocha ya chidi benz then akawatag wauza wenyewe kwa mujibu wake aliwataja kinjekitile, na majizo.
 
Hivi mfano ukimchukua ukimfungia ndani mwaka mzima unamlisha asikutane na huo unga itakuaje...atakufa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom