Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,479
si awe ananunua hata Luku ya buku buku kwa ajili ya kurushia matangazo tu.....taa zote, feni sijui ac wazime studio zinamaliza umemeLUKU imekata studio.
Mara baada ya kufungiwa na TRA, Redio Free Africa walijiunga na BBC English service saa 24. Lakini sahivi hata hiyo BBC yenyewe haisikiki tena. Saivi ni mawimbi tu shshshshshshhshsh, chchchchchchchchch.