Mwanzo wa ulimwengu

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
3,641
Reaction score
4,151
Ushahidi wa Kisayansi
Sayansi kupitia nadharia ya Big Bang na fizikia (PHYSICS) ya kisasa inaonyesha kuwa ulimwengu ulikuwa na mwanzo. (Time ,space and matter)Wakati, nafasi, na maada havikuwepo kabla ya hapo, bali vilianza kwa pamoja kwa wakati mmoja.


Sheria ya Sababu (Law of Causality):
Kila kilichopata mwanzo kinasababishwa na kitu kingine. Ulimwengu ukiwa na mwanzo wa kuwepo kwake, unahitaji chanzo ambacho kiko nje ya ulimwengu huo

Kuhusu Sifa za Chanzo Hicho (Mungu)
Kama mtengenezaji au chanzo cha hivi vitu kiliweka au kuumba space, time, na matter, basi chanzo hicho lazima kiwe na sifa zifuatazo:
1)Bila Muda (Timeless/Eternal):
Hakuna kikomo cha muda; kipo nje ya muda ulioumbwa ili kiweze kuumba muda wenyewe.

2)Bila Nafasi (Spaceless/Omnipresent): Hakitawaliwi wala hakifungiwi na nafasi (dimensions), bali kiko nje ya nafasi.

3)Bila Maada (Immaterial/Spirit):
Hakina asili ya maada au nishati ya kimwili ya ulimwengu huu, bali kina uwezo mkuu unaovuka maada.
Mtazamo huu unafanana na maelezo ya
kitabu cha
Mwanzo 1:1 ("Hapo mwanzo Mungu alizifanya mbingu na nchi"), ambapo "hapo mwanzo" kunawakilisha muda, "mbingu" zinawakilisha nafasi, na "nchi" inawakilisha maada.
 
Tukianza point yako ya kwanza tu, ushahidi kwamba ulimwengu ulikuwa na chanzo hauthibitishi uliumbwa na Mungu.

Hii ni logical non sequitur fallacy. Ushahidi kwamba wewe una Mama hauthibitishi kwamba Mama yako ni Maria Nyerere.

Kwa hiyo, hii sababu ya kwanza naomba tuitoe tuendelee na nyingine.

Zaidi, mtu aliyekuwa mmoja wa wagunduzi wakubwa wa hiyo Big Bang Theory, Georges Lemaitre, ambaye alikuwa kasisi wa Kibelgiji wa Kanisa la Katoliki, alipokutana na Papa Pius XII na kumuelezea hili jambo, Papa alifurahi sana akitaka kutumia nadharia ya Big Bang kama uthibitisho Mungu yupo, lakini Georges Lemaitre alimkataza Papa kufanya hivyo.

Soma muhtasari wa habari hii hapa.

Muhtasari.

Question: What did Georges Lemaitre say to the Pope when the Pope wanted to use the Big Bang Theory as proof of the existence of God?

Answer from Meta AI.

It's one of the most interesting priest-to-Pope corrections in history.

In 1951 Pope Pius XII was thrilled by Lemaître's primeval atom theory - what we now call the Big Bang.

In his address Un'Ora to the Pontifical Academy of Sciences, where Lemaître himself was present as president of the Academy, the Pope declared that science had found proof of Genesis:


Lemaître was distressed by this. He believed in what later writers called the separation of church and lab - that a cosmological theory that is always hypothetical and provisional can never be used as a proof nor as a refutation of an article of faith. d1ac

He went to the Vatican and privately convinced Pius XII to stop. And he said publicly:

"As far as I see, such a theory remains entirely outside any metaphysical or religious question. It leaves the materialist free to deny any transcendental Being," 3d7c

He elaborated in 1958:

"For the believer, it removes any attempt to familiarity with God... It is consonant with Isaiah speaking of the Hidden God, hidden in the beginning."

His argument was simple: Don't make God a scientific hypothesis. If you tie God to the Big Bang, what happens if the science changes? Lemaître told colleagues he would continue believing in God even if the theory turned out to be wrong


Pius listened. After 1951, he never again used the Big Bang publicly as a proof of God
 
Ondoa point ya kwanza ili tuendelee.

Kasisi nguli mwanakosmogonia (cosmogonist) wa Kibelgiji aliyejua sayansi na dini, Georges Lemaitre, mmoja wa wagunduzi wa Big Bqng Theory, alinkataza Pqpa Pius XII kutymia hoja ya The Big Bang Theory kama sehemu ya uyhibigisho wa kuwapo kwa Mungu.

Ukiitumia hoja hii, unajionesha hujui sayansi ya The Big Bang Theory na historia yake tangu enzi za Georges Lemaitre, lakini pia unajionesha hujui dini na jinsi Papa Pius XII alivyoacha kutumia hoja hii.
 
Ebr 11:1-3 SUV
BHN
SUV
Neno
SRUV
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Maana kwa hiyo wazee wetu walishuhudiwa. Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri.
 
Ebr 11:1-3
Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Maana kwa hiyo wazee wetu walishuhudiwa. Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri.
 
The book Your Bible and You was written by Arthur S. Maxwell and first published in 1950 by the Review and Herald Publishing Association.

Evidence and Reliability of the Bible
Arguments for the trustworthiness of the Bible typically focus on three main areas:
• Manuscript Evidence: Thousands of ancient Greek and Hebrew copies exist, showing the text was copied carefully over centuries.

• Fulfilled Prophecy: Specific predictions made in the Old Testament regarding historical events and the Messiah came true.

• Archaeological Support: Numerous excavations have uncovered ancient cities, people, and locations mentioned in biblical text
 
The book Your Bible and You was written by Arthur S. Maxwell and first published in 1950 by the Review and Herald Publishing Association.

Evidence and Reliability of the Bible
Arguments for the trustworthiness of the Bible typically focus on three main areas:
• Manuscript Evidence: Thousands of ancient Greek and Hebrew copies exist, showing the text was copied carefully over centuries.

• Fulfilled Prophecy: Specific predictions made in the Old Testament regarding historical events and the Messiah came true.

• Archaeological Support: Numerous excavations have uncovered ancient cities, people, and locations mentioned in biblical text
 
Sheria ya Sababu (Law of Causality):
1. Kwa nini unalazimisha "KILA" kilichopata mwanzo kinasababishwa na kitu kingine?

2 Kwa nini unafikiri Ulimwengu ukiwa na mwanzo wa kuwepo kwake, unahitaji chanzo ambacho kiko nje ya ulimwengu?

3. Kwa nini Unafikiri hicho chanzo ni mungu wako Israel/Abrahamic God ??
 
Hapa unahubiri aya za dini, hujathibitisha Mungu yupo.
 
Hoja ya Georges Lemaitre, mgunduzi wa Theory of Big Bang ambaye pia alikuwa kasisi wa Kikatoliki, kukataza watu kuitumia Big Bang Theory kama ushahidi wa kuwepo Mungu, mmeielewa?

Au mnatoa hoja tu bika kuzijua chanzo chake, historia, na undani wake?
 
Mnaanzisha mada, mnaleta hoja, halafu watu wakiwajibu, wakipangua hoja zenu, mnashindwa kuwajibu.

Hii maana yake nini?

Hamuelewi au mnaogopa?
 
ARCHEOLOGIST,HISTORIANS,GEOLOGIST...TAFITI ZILIZOFANYIKA RECENT NA ZINAZOENDELEA ZIME GUNDUA SAFINA YA NUHU,IKIWA NA DIMENSIONS ZILE ZILE ZA MAELEKEZO ALIYOPEWA NUHU NA MUNGU..ZINAENDELEA KU PROVE KUWA HABARI ZILIZOANDIKWA KWENYE BIBLIA NI SAHIHI NA MATUKIO YA BIBLIA NI SAHIHI AMBAPO BIBLI NI NENO LA MUNGU.
 

Attachments

  • NOAHS ARK.mp4
    8.8 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…