Pole na majukumu Mr, mimi nilishafika hapo kitambo ila nikajikurupua baada ya kusikia watu wanatembea chumbani kwangu ilihali nilikuwa pekeangu na nilikuwa nimefunga mlango na dirisha.
Hapo nini maana yake kaka.
nakumbuka nilisikia furaha kuu na nikaona mwanga mzuri uliotokea kwenye paji langu la uso na kupanda juu kanakwamba hauna mwisho.
Yote hayo yalitokea nikiwa nimelala chali huku nimefumba macho na kufata maelekezo ya ule uzi wako wa (JINSI YA KUTOKA NJE YA MWILI/ASTRAL PROJECTION)