Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 3, 2014 #41 queen of sorrow said: biblia ina mafumbo sana wakati mwingine ni ngumu kuchambua cha msingi kuamini na kufuata yaliyoandikwa Click to expand... Unayafuata baada ya kuyatafakari na kuyapambanua!
queen of sorrow said: biblia ina mafumbo sana wakati mwingine ni ngumu kuchambua cha msingi kuamini na kufuata yaliyoandikwa Click to expand... Unayafuata baada ya kuyatafakari na kuyapambanua!
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 3, 2014 #42 google helper said: hiyo picha ni ya uongo kwa haya yafuatayo: hawakuwa wamevaa chochote kabla ya kula tunda hawakuwa wote Adam na eva wakat wanadanganywa nyoka alikuwa na miguu kabla ya wao kula mchoraji hana lolote ni hewa kibiblia, achore tena Click to expand... Kwa ku base kwenye hii nadharia yako nyabhingi inabidi akubali tu kuwa inawezekana pia nyoka kipindi hicho alikua akiongea!
google helper said: hiyo picha ni ya uongo kwa haya yafuatayo: hawakuwa wamevaa chochote kabla ya kula tunda hawakuwa wote Adam na eva wakat wanadanganywa nyoka alikuwa na miguu kabla ya wao kula mchoraji hana lolote ni hewa kibiblia, achore tena Click to expand... Kwa ku base kwenye hii nadharia yako nyabhingi inabidi akubali tu kuwa inawezekana pia nyoka kipindi hicho alikua akiongea!
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 3, 2014 #43 sir pierre said: Ila tuacheutani adam alipewa mremba atiii Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand... Cjakusoma bro!
sir pierre said: Ila tuacheutani adam alipewa mremba atiii Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums Click to expand... Cjakusoma bro!