copy: salum mabura na google helper mkuje tafadhali
Mwambie na mumeo kazi yako.
Mh! kwani jf iko analogia? na nikitongozwa na mwanamke nikatae?
mbona mume wangu anaijua vyema hii kazi!
Kubali tu afu umlete kwangu niwafanyie screening.. hapa ukimpenda mtu oa au olewa nae mambo ya kutianatiana mnaachana nimesema NO.
Kwa hisani ya mwenyekiti wa chit chat.
Mbona nimeambiwa wanawake wote wameolewa humu? mnanichanganya sasa au nyinyi wachoyo?
nielekezeni basi jinsi ya kutuma hiyo PM ingekua fb ningekufata inbox.
Umepata morning glory leo!??? au na wewe ndo walewale mpelampela amsha popo...??
Alieolewa atakwambia yeye mwenyewe kwa kisogo chake...
Mbona nimeambiwa wanawake wote wameolewa humu? mnanichanganya sasa au nyinyi wachoyo?
nadhani niliyekuitiaakuelekeze amelala.
Kama unatumia PC chunguza kwenye maandishi chini kidogo ya ile chata kubwa la JAMIIFORUMS kuna maandishi yameandikwa HOME, FIKRAPEVU BLOG............ chini ya huo mstari utakutana na NEW POSTS, Private Message, Calendar...... Sasa itakupasa uclick kwenye neno 'Private Message' then baada ya kufunguka utakutana na maelekezo rahisi humo kama inbox, sent items, send new message..........
na kama unatumia simu bofya kwenye neno 'setting' then bofya tena kwenye 'private message' mpaka hapo sidhani kama utashindwa kuendelea
Dah! Hadi jasho limenitoka!! Hii kazi ya kulekeza mi siziwezagi atii!!!!!!!!

Mbona siku ya UKAGUZI ulikuwa unanielekeza vizuri tu tena kwa viuno na vitendo....
Walimu wenyewe wakaliiii! simuandamane tuu km Kenya! sasa hapo niseme sijaelewa uone balaa lake! nitachezea stiki mpaka basi! itabidi niende tuition, hata km sijaelewa mwl. unafikiri nitakujibu vp km sio nimeelewaaaaaaaa!
Asante kwa msaada wako lkn ww si ni dokta wa ma lady mm mbona mwanaume lkn! mwongozo tafadhali!
kuelekeza kwa vitendo ni rahisi kuliko kwa maandishi ujue.......
Maana 'unalibeba, unachomeka, unakata' simple kabisa lol!!!!
Walimu wenyewe wakaliiii! simuandamane tuu km Kenya! sasa hapo niseme sijaelewa uone balaa lake! nitachezea stiki mpaka basi! itabidi niende tuition, hata km sijaelewa mwl. unafikiri nitakujibu vp km sio nimeelewaaaaaaaa!
Asante kwa msaada wako lkn ww si ni dokta wa ma lady mm mbona mwanaume lkn! mwongozo tafadhali!
Ndo maana hata mimi darasani kwangu ni mwendo wa PRAKTIKO hadi kwenye somo la historia....
mimi ni daktari wa kike natibu jinsia zote ila ukaguzi nafanya kwa wanaume tu!
Nasubiri PM yako tafadhali