Mwanzilishi wa neno haki ya Mungu

ntabudjo

Member
Jun 1, 2016
70
64
watanzani wenzangu habari za mihangaiko sababu najua saiz pesa imekuwa ngumu sana kama ugonjwa wa dengu

yuachane na hayo turudi kwenye mada yetu hivi muanzilishi wa neno *HAKI YA MUNGU* ni nani ?? kwa sababu ni neno ambalo linaheshimiwa sana yaaaaani kama mtu anahofu ya mungu na unaona kabisa anataka kukudanganya mwambie aapie hapo ndo mtaanza kupotezana naomba leo mnijuze mnijibu swali langu naomba kuwasilisha
 
Mi nangoja kuona majibu ya wadau hapo kwa maana mi nimefata mkumbo tu kulitumia hilo neno... Ngoja tuone
 
Mimi ndo mwanzilishi, nilitamka Mara baada ya ccm kushinda uchaguzi Mkuu 2015.
 
Back
Top Bottom