Mwanzilishi wa Kampuni ya simu ya Huawei asema Marekani haiwezi kuiangusha Kampuni yake

Mwizi kaibiwa halafu anaenda polisi kushtaki ya kuwa,mi nimeiba halafu jamaa akaja kuniibia,mie nimetumia akili nyingi sana mpaka kuiba halafu yeye anakuja kuniibia kizembezembe tu!
Nalog off
 
Mwizi kaibiwa halafu anaenda polisi kushtaki ya kuwa,mi nimeiba halafu jamaa akaja kuniibia,mie nimetumia akili nyingi sana mpaka kuiba halafu yeye anakuja kuniibia kizembezembe tu!
Nalog off
 
Hilo nalo neno.
Wamarekani walizoea kuiba data za wenzao, wao wameanza kuibiwa wana mind. Watulie tu
Kampuni zote ambazo ma CEO wanatoka marekani iwe FB, Microsoft na vifaa vyote vinavyotoka marekani Mmarekani anaingia na kutoka Kama Mimi na wewe tunavyoingia msalani,kila leo wanapekua data za watu akina NSA,CIA,FBI nk sasa mchina nae akitengeneza nae anaweka mlango wake maana siku hizi mchina ndio kateka soko Hilo so bifu zinakuwa zimetokea huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh mkuu punguza mahaba unapo fatilia habari jalibu kufatila deep.Wachina hawapo vizuri katika swala zima la ugunduzi labda katika ununuzi wa teknolojia.usisahau lile ni soko kubwa duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usi sahau internet waligundua wao so wana uelewa mpana juu ya hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchina lazima iichachafye amerika watake wasitake, rejea kauli ya bwana mtume mtukufu s.a.w -TAFUTENI ELIMU MPAKA UCHINA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…