Mwanzilishi wa Chama Ufaransa atimuliwa

Super Handsome

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
3,846
6,439


attachment.php



Waanzilishi wa Chama cha national front chenye mrengo wa kushoto kimemfukuza mwanzilishi wa chama hicho bwana Jean-Marie Le Pen.

Kuondolewa huko katika nafasi hiyo kubwa kulitokana na ugomvi wake mkubwa na wa waziwazi na mwanae wa kike marine ambae alikichukua chama hicho kutoka kwake miaka minee iliyopita.
Binti yake huyo amekuwa akifanya jitihada za kukinusuru chama hicho kutoka kwenye sura ya ubaguzi wa kirangi na wa dini.

Lakini baba yake alisisitiza chama hicho kiendeleze itikadi zake za awali na kuenzi jadi za chama hicho na kutoa wito hivi karibuni kwa ufaransa kui unga mkono urusi kwa kile walicho kiita kuisaidia dunia ya weupe .

Aliwahi kufanikiwa katika kuweka vizingiti vya kisheria hapo awali vyakumsimamisha kiongozi wa chama hicho.

Na wiki iliyopita bwana le alisema hato mpa kura yake mwanae ifikapo mwaka 2017 katika kugombea nafasi ya uraisi huko nchini ufaransa na kwamba anasikia aibu kutumia jina moja la uko.




Chanzo:
BBC Swahili
 

Attachments

  • jean marie.jpg
    jean marie.jpg
    21 KB · Views: 190
National Front ni chama kinachufuata siasa za chuki za uzalendo wa kimagharibi na mrengo wa kulia (Far right) na sio kushoto.
 
Sidhani kama hiyo kitu unaweza tokea afrika .
hapa Ni kinyume mwanzilishi WA chama Ni mfalme.huwezi mgusa.
 
Hivyo ndivyo tutakavyo mfanya Mbowe kwa kutuharibia Chama
 
Back
Top Bottom