Sijui sababu sikwenda lakini mimi impact iliyonipata ni kuchelewa nilikokuwa nakwenda sababu eti huyu waziri yupo mjini.., kwakweli amenitia hasira sana..., kwanini afunge barabara kama huku sio kutumia madaraka vibaya ni nini ? Kwakweli kama ni hivi na asije tena .....