Mwanza wamtaka Kikwete ajiuzulu

Duh! Mkuu noti za laki moja? Kuna watu watapokea noti mbili tu mwisho wa mwezi. Hatari!!!!

Je wale wanaolipwa chini ya Sh 50,000 watafanywaje? Una maana hawatatambuliwa na noti hizo mpya?
 
Hii la JK kujiuzuru nafikiri ni idea nzuri sana ingepata wapambanaji wa kuianzisha pale mjengoni kwa kutuletea hoja ya kutokuwa na imani na rais watanzania wengi tungefurahi sana.
 
Back
Top Bottom