Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 750
Walimu ni wiki yao; wengine wanaua huko Kagera mala wahoji watoto wajinyoge yaani ni wao tuHabari zinazoenea kwa kasi ni kwamba mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Bulyahilu ya wilayani Buchosa Mwanza, pamoja na walimu watatu na mgambo wameiba mtihani wa Kiswahili, wakaufanya na kisha kuingiza majibu. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa mwanza Jonathani Shana amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
SIKUWAHI KUANGALIZIA WALA KUSAIDIWA KATIKA MTIHANI WOWOTE NA NDIO MAANA NIPO NILIPO LEOMleta breaking news umesahau fadhila za mkuu wako bila kukupa majibu mtihani wa La 7 sidhani kama Leo ungejua kuandika breaking news.
Wachome wenzio maana wew ulishatusua
matukio gan hayoMwanza kagera mbeya Dar es salaam
Mkoa gan mwingine unaongoza kwa matukio ya ajab ajan
Unamaanisha wasimamizi mliwachangia mayai ili wawaachie mpige chabo na kisha kuwapa majibu pia ?Shuleni Kwetu Wanafunzi wote tulichanga mayai Moja Moja ili waheshimiwe wapige Sosi la nguvu ... Nafikiri huwezi kunielewa
Achaaa upepo ni wao tuWalimu ni wiki yao; wengine wanaua huko Kagera mala wahoji watoto wajinyoge yaani ni wao tu