Mwanza WAGUFULIKA Liveeeeeeeeeeeee kwenye Barabara

Mwanza WAGUFULIKA Liveeeeeeeeeeeee kwenye Barabara

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]
2.jpg
[/h]
Hii ndio heshima na sio kukimbia mkutano kama Lowassa leo Tunduma baada ya kuonja joto ya jiwe.

MAGUFULIKAAAAAAAAAAAZZZZZZZZZZZZZZZZZ
 
[h=3]
2.jpg
[/h]
Hii ndio heshima na sio kukimbia mkutano kama Lowassa leo Tunduma baada ya kuonja joto ya jiwe.

MAGUFULIKAAAAAAAAAAAZZZZZZZZZZZZZZZZZ

Hapa ulipofikia bado kufungwa kamba upelekwe lutindi korogwe au mirembe Dodoma
 
Tehtehteh! We kweli mr. Chini... Sasa hapo wanajiharishia au nini? Maana kwa akili yako ni kweli kuna watu kibao wamejaa barabarani wakimsubiri magufuli

Wewe kwanza watu wameshaacha kusoma mambo yako!

Siku mbili zilizopita ulisema Juma duni kakosa watu iringa ukapiga picha yako umevaa tshirt ya chadema, mara hiki mara kile.. Leo umepiga hao wehu waliojibong'okea barabarani!

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Mimi nimeanza kumuonea huruma, matokeo yakitangazwa siku hiyo kuwepo na ndege ya kwenda ujerumani. La sivyo?
 
Weka picha
LOWASSA NA UKAWA WANAHONGA FEDHA MCHANA KWEUPEEE

<video muted="1" height="259" width="470" preload="auto" class="_ox1" data-video-width="470" data-video-height="259" id="u_jsonp_33_2d" src="https://video.xx.fbcdn.net/hvideo-xat1/v/t42.1790-2/12061925_913050452109808_1982544115_n.mp4?efg=eyJybHIiOjc3MCwicmxhIjo1MTIsInZlbmNvZGVfdGFnIjoidjJfNDI2X2NyZl8yM19tYWluXzMuMF9zZCJ9&rl=770&vabr=428&oh=07c415e4f4c4141db54174bb323ff252&oe=5622B3D3" aria-owns="js_lg" aria-haspopup="true" tabindex="0" style="height: 259px; left: 0px; position: absolute; top: 0px; width: 470px;"></video><button aria-label="Play" tabindex="-1" type="button" class="_zbd _1fmx _42ft" data-reactid=".1g7.0.0" style="font-family: helvetica, arial, sans-serif; font-size: 12px; margin: 0px 3px; border: none; height: 30px; outline: none; padding: 7px; width: 30px; cursor: pointer;"></button>

https://www.facebook.com/tzmagufuli/videos/914906218546120/
 
Akili za matope kupiga push up barabarani wanafundisha nini watoto na jamii kwa ujumla..kesho watoto wa shule wakipiga push up na kusababisha ajali watamlaumu nani??,hii kuiga kila kitu kwa mtu mwenye weredi na akili za ziada zitatuletea matatizo watanzania.Wanachama wa Chadema na umoja wa Ukawa walisafisha na kudeki barabara,hii ni funzo kwa jamii maana kila mmoja wetu anafahamu barabara na mazingira yetu yalivyo machafu.kwa hili UKAWA wameonyesha mfano mzuri hata kwa watoto zetu na jamii Usafi ni muhimu.poleni sana CCM ukiiga tembo kunya angalia usipasuke makalio...Viva Ukawa.
 
Nyumbu safarini, akili umeacha zimesombwa na mafuriko ya Viroba. Mtungi umeinamishwa tayari, Panya kashindwa kusimama Tunduma leo
 
Nyumbu safarini, akili umeacha zimesombwa na mafuriko ya Viroba. Mtungi umeinamishwa tayari, Panya kashindwa kusimama Tunduma leo

Siku ya ufunguzi wa kampeni za Chadema na Umoja wa Ukawa,Lowasa alisema kampeni zake zitakuwa safi,za kuheshimiana ,bila matusi,,Sasa Pohamba unaonyesha kabisa ni nini unajifunza kutoka CCM.pigia kura Lowasa upate hivyo vitu muhimu ambavyo unavihitaji sana
1:Elimu
2:Elimu
3:Elimu.
 
Kampeni safi unazijua? Ni pamoja na kusema kweli! Dozi imechelewa kufika Mzee kashindwa kuhutubia mnasungizia Vyimbo vya Mawasiliano mbona Mbowe kaweza, kama Afya imekorofisha mseme kweli sio kulaumu waandaji wa Mkutano mnaacha mgogoro, Mpaka leo Geita Mwenyekt anatukanwa kwa maandalizi duni ya Mkutano kumbe Tatizo ni Rasilimali Afya mnashushia watu lawama wasizostahiki.Acheni kuleta Husda kwa viongoz wenu Mkoa mnawavunja moyo
 
Sawa sawa.hila unapoingiza maswali kuhoji Afya yake ,.Je wewe mzimaaaa ??? Ndugu yangu kura apigiwi mtu kwa kupiga makelele jukwaani muda mrefu.ndio maana wataalamu walisema kura ni IMANI ,SIRI,na ni HAKI yako.hivyo basi Imani ni pale kama tunavyoona sasa tayari Watanzania wameshaweka IMANI siku nyingi kwamba watakitoa CCM Madarakani na watampigia Kura kwa kuwa Wanaamini yeye ndio anafaa,hata apakwe matope gani na matusi na kashfa lakini IMANI ya Watanzania wengi wao tukiondoa wewe Watampigia kura.(2)SIRI ndio kama unavyojua kuna Wengine wapo CCM au Chadema watakuwepo katika majukwaa ya kampeni lakini akiingia katika Chumba cha kupigia kura anajua mwenyewe aliyempigia ni nani,anaweza kuwa Chadema akampigia Magufuli CCM ,lakini kwa.hilo sitoamini kama kuna Mwanachadema na Umoja wa Ukawa watampigia Magufuli,hila nina uhakika kwamba wapo CCM wengi watampigia kura Lowasa.(3) Haki yako..hilo ni jepesi ni haki yako kupiga kura .hila tumia hii haki yako vizuri hili usije kulaumu viongozi wako maana unapouza haki yako kwa buku 7 au doti za kanga,kofia ,na t-shirts. za CCM ndio yale yale ,wakifanya madudu unashindwa kuhoji kwanini ?? maana wamekununua wewe.Haki yako ya kupiga kura ndio funguo yako ya kumfungulia mfanyakazi wako aje kukufanyia kazi zako.hivyo viongoz ni waajiriwa wa Wananchi.lazima watimize kile wananchi wanataka sio wanavyotaka wao kama wanavyofanya CCM ,wizi,rushwa,kiburi,.mpaka nchi inakuwa masikini kila kukicha.Acha kufuata mkumbo kisa mjomba mjumbe wa nyumba 10 ,sijui shemeji mtendaji wa kata..Badilika angalia ulipotoka na angalia unataka kwenda wapi.Ushauri wangu hila maamuzi ni yako.mimi,mke wng na ukoo wangu Mungu akitujalia 25October ni kuwapa kura Wagombea wa Umoja wa Ukawa.
 
[h=3]
2.jpg
[/h]
Hii ndio heshima na sio kukimbia mkutano kama Lowassa leo Tunduma baada ya kuonja joto ya jiwe.

MAGUFULIKAAAAAAAAAAAZZZZZZZZZZZZZZZZZ
mi ccm lakini huu utahira sure....
 
Back
Top Bottom