[h=3][/h]![]()
Hii ndio heshima na sio kukimbia mkutano kama Lowassa leo Tunduma baada ya kuonja joto ya jiwe.
MAGUFULIKAAAAAAAAAAAZZZZZZZZZZZZZZZZZ
Babu yako mwenye mamvi kashindwa kusimama Tunduma.Hapa ulipofikia bado kufungwa kamba upelekwe lutindi korogwe au mirembe Dodoma
Babu yako mwenye mamvi kashindwa kusimama Tunduma.
Umesha biwa Viloba wewe.Weka picha
LOWASSA NA UKAWA WANAHONGA FEDHA MCHANA KWEUPEEEWeka picha
Weka picha
Weka picha
Akili za matope kupiga push up barabarani wanafundisha nini watoto na jamii kwa ujumla..kesho watoto wa shule wakipiga push up na kusababisha ajali watamlaumu nani??,hii kuiga kila kitu kwa mtu mwenye weredi na akili za ziada zitatuletea matatizo watanzania.Wanachama wa Chadema na umoja wa Ukawa walisafisha na kudeki barabara,hii ni funzo kwa jamii maana kila mmoja wetu anafahamu barabara na mazingira yetu yalivyo machafu.kwa hili UKAWA wameonyesha mfano mzuri hata kwa watoto zetu na jamii Usafi ni muhimu.poleni sana CCM ukiiga tembo kunya angalia usipasuke makalio...Viva Ukawa.
Nyumbu safarini, akili umeacha zimesombwa na mafuriko ya Viroba. Mtungi umeinamishwa tayari, Panya kashindwa kusimama Tunduma leo
Siku ya ufunguzi wa kampeni za Chadema na Umoja wa Ukawa,Lowasa alisema kampeni zake zitakuwa safi,za kuheshimiana ,bila matusi,,Sasa Pohamba unaonyesha kabisa ni nini unajifunza kutoka CCM.pigia kura Lowasa upate hivyo vitu muhimu ambavyo unavihitaji sana
1:Elimu
2:Elimu
3:Elimu.
Kampeni safi unazijua? Ni pamoja na kusema kweli! Dozi imechelewa kufika Mzee kashindwa kuhutubia mnasungizia Vyimbo vya Mawasiliano mbona Mbowe kaweza, kama Afya imekorofisha mseme kweli sio kulaumu waandaji wa Mkutano mnaacha mgogoro, Mpaka leo Geita Mwenyekt anatukanwa kwa maandalizi duni ya Mkutano kumbe Tatizo ni Rasilimali Afya mnashushia watu lawama wasizostahiki.Acheni kuleta Husda kwa viongoz wenu Mkoa mnawavunja moyo
mi ccm lakini huu utahira sure....[h=3][/h]![]()
Hii ndio heshima na sio kukimbia mkutano kama Lowassa leo Tunduma baada ya kuonja joto ya jiwe.
MAGUFULIKAAAAAAAAAAAZZZZZZZZZZZZZZZZZ