varangati
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,727
- 1,622
Kweri aiseeHivi kweli amekosekana sniper mmoja dunia nzima atusaidie kazi.....
Kweri aiseeHivi kweli amekosekana sniper mmoja dunia nzima atusaidie kazi.....
Hili huwa naliwaza sn sn.Hivi kweli amekosekana sniper mmoja dunia nzima atusaidie kazi.....
Kuna askari wetu wanatumia risasi zetu kuua wenzao na kujiua eti kwa wivu wa mapenzi. Ni bora wakaziweka katika matumizi mazuri kama haya.Hivi kweli amekosekana sniper mmoja dunia nzima atusaidie kazi.....
Kaburu alikuwa mwanasiasa nguli ndio maana,lakini chadema wao huwa wanapiga siasa hata makaburiniMbona ndio tabia ya CCM au hukuona kwenye msiba wa kaborou?
Nyani haoni kundule.Mbona ndio tabia ya CCM au hukuona kwenye msiba wa kaborou?
Kwani msiba huwa unakuwa na kiwango cha watu kuhudhuria. Sasa kama ni mwanachama nwenzao kuna ubaya gani kuhimizana kwenda kwenye msiba wa mwenzao? Hata CCM nao si wanaweza kufanya hivyo? Kosa liko wapi?Bavicha bwana ! Watu 500 kwenda kuhani msiba is it possible? Walijiorganize vp?
kuhani msiba ni kosa! au kuna tatizo jingine zaidi ya kuhani msiba?Mwanza. Wafuasi zaidi ya 10 wa CHADEMA waliokamatwa wakiwa nyumbani kwa mwanachama mwenzao kuhani msiba wanatarajiwa kupandishwa kizimbani muda mfupi ujao.
Watu hao, leo Machi 14, 2018 tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza na kuwekwa katika mahabusu mahakamani hapo kusubiri kukamilika kwa taratibu za kimahakama ili wasomewe mashtaka dhidi yao.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi watu hao walikamatwa eneo la Mabatini Machi 13, 2018 baada ya kutokea kutoelewana kati yao na askari polisi.
Amesema askari hao walikuwa wakifuatilia nyendo za wafuasi hao tangu walipokuwa wakikusanyika kutoka sehemu mbalimbali za Jiji la Mwanza kwenda nyumbani kwa wanachama mwenzao kwa kile kinachodaiwa ni kuhani msiba.
Katika tukio hilo, polisi walilazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi kutawanya kundi la watu zaidi ya 500 waliokuwa kwenye eneo hilo.
Chanzo: Mwananchi
Siku ya jana, wanachama hao wa CHADEMA walikamatwa na Jeshi la Polisi Mwanza Zaidi soma => Viongozi na wafuasi 20 CHADEMA washikiliwa na polisi
Hueleweki.Kaburu alikuwa mwanasiasa nguli ndio maana,lakini chadema wao huwa wanapiga siasa hata makaburini
Hapana ila watu 500 halafu woote vaeni scarf za chadema hayo yanakuwa ni maandamano.Kwani msiba huwa unakuwa na kiwango cha watu kuhudhuria.
Sasa shangaeni hiyo ya mange ndio mtatoa na macho af tuoneBavicha bwana ! Watu 500 kwenda kuhani msiba is it possible? Walijiorganize vp?
Sasa polepole unamlinganisha na Nani CHADEMA? Yule Mwenezi wa chama tawala Upo!Pole pole huwa anafanya nini? Hamkumbuki majuzi tu hapa walikuwa na bongeeeeeeee la mkutano wakajaza kirumba na wakapewa ulizi,
Hii double standard mkija baadae kufanyiwa msilie kama mugabe
SIO msiba, walikwenda kuhaniHapana ila watu 500 halafu woote vaeni scarf za chadema hayo yanakuwa ni maandamano.
Siku hizi mambo yamerahisishwa unahani wa simu rambirambi kwa mpesa.SIO msiba, walikwenda kuhani
Jaribu uone,kwanza tunaanza kukufuatilia nyendo zako! Unaonekana wewe ni mtu hatari sanaHili huwa naliwaza sn sn.
Aweke target miezi 3 tu then
Tushakupata tayari ,simu yako technoJaribu uone,kwanza tunaanza kukufuatilia nyendo zako! Unaonekana wewe ni mtu hatari sana