Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 8,190
- 9,864
Jinga kabisa, wahi MilembeUzi ni wa Lini na Nauli zimepanda lini? Peleka bangi zako huko Unatukana hovyo na upumbavu wako.
Jinga kabisa, wahi MilembeUzi ni wa Lini na Nauli zimepanda lini? Peleka bangi zako huko Unatukana hovyo na upumbavu wako.
Tajiri Yahya anapenda sana gari zake ziwe za kwanza kufika Mwanza na mara nyingi huwa anawalinda madereva hata wakicheza rafu.Kati ya mabasi said ya 40 kutoka mwanza au yanayopitia Mwanza umeona la Ally's tu? Halafu basi zenu zina mwendo mkali na rafu nyingi sana barabarani. Waonyeni madereva wenu waache hizo tabia.
Mimi ni mteja wenu sugu, natarajia kuzikacha.
Basi zote siku hizi zinakimbia hii ni kutokana na engine tech...Kati ya mabasi said ya 40 kutoka mwanza au yanayopitia Mwanza umeona la Ally's tu? Halafu basi zenu zina mwendo mkali na rafu nyingi sana barabarani. Waonyeni madereva wenu waache hizo tabia.
Mimi ni mteja wenu sugu, natarajia kuzikacha.
Panda mbinguni trans unatoka Mwanza saa 12 asubuhi unafika Dodoma saa 1 usiku!Naomba kujua usafiri wa basi kutoka Mwanza hadi Dsmni Tshs ngapi wadau?