Mwanza to Dsm

Mwanza to Dsm

Kati ya mabasi said ya 40 kutoka mwanza au yanayopitia Mwanza umeona la Ally's tu? Halafu basi zenu zina mwendo mkali na rafu nyingi sana barabarani. Waonyeni madereva wenu waache hizo tabia.

Mimi ni mteja wenu sugu, natarajia kuzikacha.
Zikiendeshwa taratibu,Mwendo wa Kinyonga... Safari ya Mwanza- Dar ni ndefu inachosha.

Zikiendeshwa kwa kuwahi,Mwendo wenu mkali,mpaka roho inataka kutoka.

#Mkuu kuepusha kero hizo drive la kwako tu.Uende mwendo unao taka.
 
Namiliki baiskeli tu huku kwetu Kadoto njiapanda ya kwenda Maswa na Bariadi ukitokea Kwimba. Gari ndoto kuu kwangu, hata ka-ist, virtz,crown na jamii zote za baby walker sina.
 
Back
Top Bottom