Mwanza sehemu gani nitapata kazi

Mwanza sehemu gani nitapata kazi

Vivan cappatinho

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2018
Posts
284
Reaction score
238
Naitaji sana kazi kwa muda mrefu sana, ni kijana wa miaka 24 sina kazi kwa muda mrefu sana hadi naelekea kukata tamaa sina mbele wala sina future yoyote elimu yangu ni darasa la saba ila nina sifa ya uelewa naelewa kitu mapema sana. Nipo mwanza wilaya ya ilemela kata ya mecco kusini. Mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari anisaidie nitafanya kazi yoyote yenye kukimu mahitaji
 
Pole sana mkuu binafsi nimeguswa na hitaji lako,ngoja wananzengo waaamke waje
Naitaji sana kazi kwa muda mrefu sana, ni kijana wa miaka 24 sina kazi kwa muda mrefu sana hadi naelekea kukata tamaa sina mbele wala sina future yoyote elimu yangu ni darasa la saba ila nina sifa ya uelewa naelewa kitu mapema sana. Nipo mwanza wilaya ya ilemela kata ya mecco kusini. Mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari anisaidie nitafanya kazi yoyote yenye kukimu mahitaji
 
Kazi mkuu, sasa hivi ni kujiajili tuu japo ni ngumu kuamini kwamba maisha yako yako mikononi mwako
 
Uko sawa unachosema ila sasa kujiajir kunaitaj mtaj, na kwenye iyo biashara kun changamoto nying inanibid nifany kaz nipate pesa ya kusave na ya mtaji sindivyo ama nakosea mkuu?

Kwa kuanzia Nenda pale mwaloni kirumba. Kuna kazi ya kupakia dagaa kwenye malori, kuna kazi ya kushindilia dagaa kwenye mifuko, kuna kazi ya kushusha mizigo kwenye boti mbalimbali pale.
Ukishapata kamtaji, anza kulangua dagaa kisha kuziuza hapohapo mwaloni hasa wale wa kutoka bukoba-wasikuwa na mchanga
Ukishapata kamtaji pia unaweza nunua smaki na kuwauza
Amka mkuu
 
nimeipenda hii
 
jamani mmeiyona elimu ya darasa la saba hiyo ha ha ha uandishi safi kabisa

labda niwe sijakuelewa
 
Kama uko kwenye jumuia yoyote mfano kanisani tafuta mtu anaetaka dereva boda nawe jifunze haraka kisha mwambie akudhamini au bajaji uanzie hapo
Uko sawa unachosema ila sasa kujiajir kunaitaj mtaj, na kwenye iyo biashara kun changamoto nying inanibid nifany kaz nipate pesa ya kusave na ya mtaji sindivyo ama nakosea mkuu?
 
Kwa kuanzia Nenda pale mwaloni kirumba. Kuna kazi ya kupakia dagaa kwenye malori, kuna kazi ya kushindilia dagaa kwenye mifuko, kuna kazi ya kushusha mizigo kwenye boti mbalimbali pale.
Ukishapata kamtaji, anza kulangua dagaa kisha kuziuza hapohapo mwaloni hasa wale wa kutoka bukoba-wasikuwa na mchanga
Ukishapata kamtaji pia unaweza nunua smaki na kuwauza
Amka mkuu
Darasa lako ni zuri sana nimelipenda
 
Wazo zuri sana mkuu me pia nlishajaribu kufanya ivy ila sasa changamoto yangu ni kubwa sana yani nina kamwili kadogo muonekano wa kitoto na mwaroni gunia lina kilo 40 na kila ukibeba moja ni shiling 50. Umenielew point yang hapo?
Kwa kuanzia Nenda pale mwaloni kirumba. Kuna kazi ya kupakia dagaa kwenye malori, kuna kazi ya kushindilia dagaa kwenye mifuko, kuna kazi ya kushusha mizigo kwenye boti mbalimbali pale.
Ukishapata kamtaji, anza kulangua dagaa kisha kuziuza hapohapo mwaloni hasa wale wa kutoka bukoba-wasikuwa na mchanga
Ukishapata kamtaji pia unaweza nunua smaki na kuwauza
Amka mkuu
 
Nishafanya ivyo mkuu, kazi kupata kiwandan ni ngum sana kwa sasa hiv kila tukijaribu tunarudishwa
Naitaji sana kazi kwa muda mrefu sana, ni kijana wa miaka 24 sina kazi kwa muda mrefu sana hadi naelekea kukata tamaa sina mbele wala sina future yoyote elimu yangu ni darasa la saba ila nina sifa ya uelewa naelewa kitu mapema sana. Nipo mwanza wilaya ya ilemela kata ya mecco kusini. Mwenye uwezo wa kunisaidia tafadhari anisaidie nitafanya kazi yoyote yenye kukimu mahitaji
Mkuu vp mbona namba hutumi wala kunipigia hujanipigia?
 
Back
Top Bottom