Mwanza: Precision Air yapata Msukosuko leo kwenye kutua baada ya Kundi la Ndege kuingia kwenye Matairi

Bird strike da ndio uzuri wa propeller engine ingekua zile jet engines tungekua tunaongea mengine saizi
Nikweli kabisa hakika ni jambo la kumshukuru mungu. maana kama hili tatizo lingetokea wakati ndege ikiwa angani sidhani kama mfumo wa taili ungefanya kazi vizuri.
 
Dah wapinzani nchi hii noma sana yaani wanaona mkubwa wao yupo jela wanaanza kuiroga srikali
 
Daa afadhali ilikuwa precition air laiti ingekuwa ni bomba dia sijui saa hizi tunaongea nini...
Naomba kuishia hapo
 
Tena kwa airport ya mwanza kuna kuwa na ndege wengi ..ikinyesha mvua mbayuwayu nao ni wengi ..i remember kuna safari fulani fastjet ilishindwa kutua (ikarudi) hadi baadae ndege walipofukuzwa

Nafikiri mamlaka waliangalie hili
 
Back
Top Bottom