Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,183
- 85,269
Basi sawa....Mbona umesha comment tayari?
Basi sawa....Mbona umesha comment tayari?
Nimeipata mkuu.Umeona like yangu huko?
Sisi ambao hatuja wahi kupanda ndege, tuna comment wapi...!!??
Sisi ambao hatuja wahi kupanda ndege, tuna comment wapi...!!??
Haswaa! Unga mkono basi!Hizi zote ni juhudi za serekale ya awamu ya 5
Aliyezileta akikusikia! Sema inaweza kupaa bila nguvu ya injini na mkafika salama!Mkuu bombardier ni ndege salama zaidi inaweza kupaa na injini moja na mkatua salama kabisa
Mkuu, hapa naona ndio kwanza umenichanganya kabisa na hii lugha za walio soma St. School.....In this video I will be explaining birdstrikes. What is it, how dangerous is it and what is being done to prevent it.
Sio kitu cha kucheka mpumbavu wewe walahiHahaha Ndege Zimegongana
Siku Hizi Tabia Ya Kununua Malaya Nimeacha Na Nimeoa. Hivyo Kama Una Nyege Tafuta Hata Gunzi Ujikune.Sio kitu cha kucheka mpumbavu wewe walahi
Sio kweli ndege hawajatua salama wengi wameangamia.Walikuwa ndege wengi inaonekana. Tunamshukuru Mungu kwamba wametua salama.
hahahaHii nchi Magufuri ishamshinda bora tumpe Membe, haiwezekani ndege waingie uwanjani na serikali ipo
Hata bila injini inapaaa tu mbona!!
mhMkuu bombardier ni ndege salama zaidi inaweza kupaa na injini moja na mkatua salama kabisa
Ingekuwa bombemardier wangekufa woteIngekuwa Bombardier mbona huu uzi ungekuwa una page 200
Ingekuwa bombemardier wangekufa wote
Hahahaaa.... Kitoweo hicho. Ulikwishawahi omboleza kuku uliokwishaweka tumboni tangu uzaliwe?Sio kweli ndege hawajatua salama wengi wameangamia.