Mwanza: Padri anusurika kutekwa!

Mwanza: Padri anusurika kutekwa!

Skeikh Khalifa ni mnafiki sana, hapo awali alikuwa ni mpinzani mkubwa hasa wa serikali na ndiye alikuwa muasisi wa siasa za udini misikitini kwa kutaka waislam wampigie Prof Lipumba kura kabla ya kuja kununuliwa na JK na hatimaye kuwageuka wanaharakati wenzake hadi hii leo.

Kwa hiyo kauli ya sheikh huyo ni ya unafiki mkubwa na ya kujikomba ili tumbo lake nisilale njaa.

Naamini mpaka 2015 waislam watakuwa hawana mwelekeo sahihi kutokana na viongozi wao kuendekeza njaa na hivyo kununulika hata kwa sahani ya ubwabwa!!!

.........Word!
 
Huyu Padri kweli ni muoga....
Hili tukio kama ni la kweli ...inaonyesha hao vijana walikuwa wanamuhitaji Padri awape huduma za Kiroho
Waarabu? Tena barabarani wakiwa katika pikipiki? Busina ya namna gani hiyo?
 
alafu uyu jk anaongea p.u.mba gani sasa!
sie tunamwangalia tu,mana anajidai km hajui ni nani hasa wanatafuta chokochoko,ila anasubiri adi wakristo waaze kujilinda/kujitetea wenyewe ndo anaongea kubalance mambo
eti polisi wanafanya kazi,wapi sasa!!

pathetic creature
 
Ndiyi maana kukawepo na wataalam wa chunguzi mbali mbali. Ni kweli, kufuka moshi ni dalili ya kitu FULANI, ndiyo maana hicho kitu lazima kijulikane pasipo shaka.
 
Hili gazeti la Chadema bado halijafungiwa tu? kazi yao ni moja tu! kushambulia Uislamu! ngoja Waislamu waanze kusoma dua na hapo ndio mwisho wao!

Kumbe ni waislamu ndio wamehusika? Good to know!
 
Huyu ni shekhe ubwabwa tuh na njaa kali sisi hatusumbui hata kidogo..

Pia nikukumbushe muelekeo wetu sisi hauangalii upepo wa kisiasa,,siasa ni kijisehem kidogo sana ndan ya uislam

Kuna hatari kubwa kama ni kweli ndugu zetu waislamu wameamua kuendesha kampeni za uvunjifu wa amani na vurugu za udini. Kwa upande mwingine nahisi lazima kuna kikundi kinafadhili kampeni hii. Swali ni, kwa manufaa ya nani?
 
Msisahau kuwa maasikofu ni wauzaji wazuri sana wa madawa ya kulevya pia.
 
waislam fanyeni mambo yenu ila mkumbuke wakristo wana uvumilivu.hii ni kwa sababu ya mafundisho ya imani yao ila itafika hatua hawatavumilia na waislam watatafuta tundu la kujificha na mlitambua hilo moto utawaka nyie ngojeni dawa yenu inachemshwa.
 
Subutu yako jaribuni muone!
 
Hawa wasibiri hasira ya Mungu juu ya roho zisizo na hatia.
 
Back
Top Bottom