Mwanza: Padri anusurika kutekwa!

Mwanza: Padri anusurika kutekwa!

Skeikh Khalifa ni mnafiki sana, hapo awali alikuwa ni mpinzani mkubwa hasa wa serikali na ndiye alikuwa muasisi wa siasa za udini misikitini kwa kutaka waislam wampigie Prof Lipumba kura kabla ya kuja kununuliwa na JK na hatimaye kuwageuka wanaharakati wenzake hadi hii leo.

Kwa hiyo kauli ya sheikh huyo ni ya unafiki mkubwa na ya kujikomba ili tumbo lake nisilale njaa.

Naamini mpaka 2015 waislam watakuwa hawana mwelekeo sahihi kutokana na viongozi wao kuendekeza njaa na hivyo kununulika hata kwa sahani ya ubwabwa!!!

Huyu ni shekhe ubwabwa tuh na njaa kali sisi hatusumbui hata kidogo..

Pia nikukumbushe muelekeo wetu sisi hauangalii upepo wa kisiasa,,siasa ni kijisehem kidogo sana ndan ya uislam
 
Utekaji kwa Tanzania hauko kwa maaskofu peke yake. Hata wananchi wa kawaida pia wanatekwa/kudhuriwa/kuuwawa. WHY NOW?.

Usikute wamezinguana kwenye dili zao tuh hao,,

Labda kuchukuliana wake,au dawa za kulevya,who knows?
 
Usikute wamezinguana kwenye dili zao tuh hao,,

Labda kuchukuliana wake,au dawa za kulevya,who knows?

Inawezekana vile vile kwa haya unayoyasema lakini matukio ya hivi karibuni ndiyo yanatufanya kuwa na fikra kama hizi.
 
Wenzenu tunafundishwa kua HATUTAKIWI KULIPA KISASI kwakua kisasi ni cha Mungu mwenyewe(Torati 32:25, Warumi 12:19), Sijui wenzetu mnafundishwaje, tena kama hiyo Torati si ipo katika Qurani Tukufu. Hebu tupe Uzoefu.
mkuu ninachokijua ni kwamba vitabu vyote walivyopewa mitume, nikimaanisha, zaburi-daud, taurai-musa, injili-issa na Qur'an-Muhamad vyote vinamaelezo yaliyofanana.
kumbuka sijazungumzia biblia, kwa maana kila siku bibilia inabadilia. utasikia kuna mwanamke alizini, mara walipotaka kumuua yesu akasema hebu mtu asiye nadhambi aje ampige jiwe huyu mzinzi, hayo ndo mambo ya bibilia. sasa swali, jiulize wale watu waliotaka kutekeleza ile hukumu waliitoa wapi kama sio kwenye tauri? moja ya hivyo vitabu vinne nilivyovitaja?
mkuhusu kulipa kisasi,hiyo ni aya kwenye Qur'an, japokuwa naona sasa hivi watu wanapotosha eti kwamba waislam wawaue tu eti viongozi wa kikristo. hiyo siyo kweli kabisa. uislam haurusu kuua nafsi. hapo kinachoongelewa ni kisasa, kama kile kitakachofanyika upande mmoja (iwe familia moja kwa familia ingine, nakadhalika) basi lifanyike pia kwa upande wa pili. guran inaainisha, kuwa wafanane, haiwezekani aliyeuliwa ni mwanamke, halafu ukaue mwanaume au kinyume chake. lazima level ifanane. kama ni mtumwa basi kwa mtumwa, HURU KWA HURU na kadhalika. na sio kuuawa tu, sema watu wamelishilia hili la kuua tu. chukulia dhana nzima ya neno kisasi. ILA SASA KAMA UPANDE WA WALIOPOTEZA WATAKUBALI KUSAMEHE HAPO HAIHITAJI KISASI.
 
Hili gazeti la Chadema bado halijafungiwa tu? kazi yao ni moja tu! kushambulia Uislamu! ngoja Waislamu waanze kusoma dua na hapo ndio mwisho wao!

habari nilizozipata kutoka kahama ,juzi kuna jamaa alikamatwa akitaka kuchoma kanisa moja linajulikana kama kanisa la mchungaji bendera,walikuta ndo anamwagia petrol,walimpiga sana na baada ya kibano akadai ametokea shinyaga amepewa milioni kumi kwa kazi hiyo waliomtuma anadai eti ni chadema.
Yuko mikononi mwa polisi na nashangaa kwanini tukio hilo halijatangazwa.
Najaribu kufuatilia kutoka huko kahama nijue kama ni kweli ama ni siasa taka.
 
Kumbe source ya habari hii ni GAZETI LA TANZANIA DAIMA ??

Aaaaaah mi nlidhani source ya maana kumbe ni ya CHADEMA ?

Kwahiyo huyo Padri walimkosaaa ? Daaaaah ana bahati kweli !
 
Huyu Padri kweli ni muoga....
Hili tukio kama ni la kweli ...inaonyesha hao vijana walikuwa wanamuhitaji Padri awape huduma za Kiroho
Hilo ndio tatizo,badala kila jambo kulichukua kwa uzito wake na kulichunguza watu mnaendekeza dhihaka na utani wa kijinga.
Haya machafuko ya kidini tunayoyaendekeza yakisha tokea hakuna atakaye kuwa salama hata awe mpagani au Budha!wote sie hatutafanya shughuli zetu kwa amani na watoto wetu hawatasoma vizuri na salama pia mama,wake na dada zetu watakuwa na wakati mgumu sana kiusalama.
Ni suala la kila mtu atakaye mgundua mfadhili wa kadhia hii kumripoti bila kujali ni wa dini yake ili hili jambo liishe kabisa.
 
An empty mind is...m2 yeyote anaeongelea udin ktk mising ya uchochez n shetan tena mburula. achen udin watanzania
 
Where is Tanzania Itelligence and Security Service (TISS).
Matukio kama haya ni dalili ya nchi kuingiliwa na wapenda machafuko. Kuna kitu kiko nyuma ya pazia ambacho kinatafutwa.

Njiti za kiberiti zimepatikana (wachochezi), majani makavu nayo kwa sasa ni mengi (udini), kinachosumbua ni wapi moto uwashwe ili msitu uteketee kwa kasi na haraka.


Nasikia tetesi ni kundi la Lowassa
 
Huyu Padri kweli ni muoga....
Hili tukio kama ni la kweli ...inaonyesha hao vijana walikuwa wanamuhitaji Padri awape huduma za Kiroho

Umejuaje wanahitaji huduma za kiroho?
Hata huduma za kiroho zina utaratibu wake!
 
Duh! Padre upako zero kabisaaa....kwanini atimue mbio baada yakuomba kwa YESU na Bikira Maria..Kama Padre anatimua mbio sisi kondoo wake tufanyeje? Mie nadhani mafundisho yake mengi ni kua tunamlinzi hivyo hatupaswi kuogopa lakini hili la Padre kuendesha gari kwa speed 140km/h ni hatareeeeeee...Pole mzee wetu next time usizurure usiku kwani ata sisi raia wakawaida yanatutokea sana ayana hatusemi ni udini
 
Hilo ndio tatizo,badala kila jambo kulichukua kwa uzito wake na kulichunguza watu mnaendekeza dhihaka na utani wa kijinga.
Haya machafuko ya kidini tunayoyaendekeza yakisha tokea hakuna atakaye kuwa salama hata awe mpagani au Budha!wote sie hatutafanya shughuli zetu kwa amani na watoto wetu hawatasoma vizuri na salama pia mama,wake na dada zetu watakuwa na wakati mgumu sana kiusalama.
Ni suala la kila mtu atakaye mgundua mfadhili wa kadhia hii kumripoti bila kujali ni wa dini yake ili hili jambo liishe kabisa.
Dhihaka ipo wapi Hapa ?
 
Hili gazeti la Chadema bado halijafungiwa tu? kazi yao ni moja tu! kushambulia Uislamu! ngoja Waislamu waanze kusoma dua na hapo ndio mwisho wao!
Someni dua ili waandishi wa Tanzania Daima wabadilike kuwa mijusi, ila dua ikigoma kuwabadilisha msikasirike :becky::becky::becky::becky:
 
Huyo shehe kanunuliwa c bure.

Usifikili waislam wote wana roho mbaya na akili ndogo kama wewe.Tatizo lenu mkikemewa na waislamu wenzenu mnawabadili majina na kuwaita wanafiki mna mchanganya hadi rais wenu awafanyie nn kutoa shukrani kwa kula zenu za msikitini in short hambebeki nyie watu ptuuuuu....
 
Iweje Redio imani ifungiwe huku hili Gazeti la Tanzania Daima lipo huru??

Haituingii Akilini kabisa..

hivi kwa akili zako timamu kabisa ,uchochezi uliofanywa na radio imaan ni sawa na hilo gazeti?hujatulia wewe,na utakuwa na yako tu wewe bila shaka.
 
Sisi yetu macho! Tusubiri kitakachotokea kwa sababu hata Rais anatoa hotuba kwa kubalance badala ya kukemea,Uko wapi Mzee Mwinyi Taifa linakukumbuka kwa umahiri wako wa kukemea upuuzi huu!
 
Back
Top Bottom