Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,948
- 74,431
Ni kweli mkuu, lakini halmashauri ililazimishwa kuwa na Meya wa kuchonga na serikali na madiwani na mbunge wakajikuta wanashindwa kuibana halmashauri ifanye inayopaswa kufanywa.Huko ndio kulikuwapo na mbunge wa Chadema
Hata hivyo uharibifu huo ni wa mvua za November na December 2015 wakati Mbunge wa Chadema keshamaliza muda wake na huyo mama aliyepo hata kuzitembelea hizo barabara hajafanya hivyo mpaka zimejifunga zenyewe na magari tumefungia ndani.