Hahahahahaa jamani nacheka ghafla hapa jamanj.hahahahahaha
Kutoa taarifa umma ujue na taarifa zimfikie mama kupitia wasaidizi wake wanaosoma mitandaoWewe ushachukua hatua gani? Au na wewe umesema baada ya kuona Mama yetu anakuja? #kazinaiendelee
Wakati umeona uchafu ulitoa taarfa wapi au ulifanya juhudi gani?Kutoa taarifa umma ujue na taarifa zimfikie mama kupitia wasaidizi wake wanaosoma mitandao
Kwa kuusaidia ubongo wako kufikiria nipo Mwanza kikazi nina siku 4Wakati umeona uchafu ulitoa taarfa wapi au ulifanya juhudi gani?
Ndio maana huijui vzur Mwanza itakuwa ulipitishwa kwenye uchafu....Sasa una siku nne zoezi la usafi limeanza lini? Maana sio rahisi kusafsha mazingra kwa siku moja? Taa za barabaran unaongelea njia ipi?Kwa kuusaidia ubongo wako kufikiria nipo Mwanza kikazi nina siku 4
Unacheka nini madam?Hahahahahaa jamani nacheka ghafla hapa jamanj.hahahahahaha
Pamoja na kujaribu kuponda mtoa mada kukinga ujinga na ubabaishaji wenu au wale unawakingia kifua taarifa ziko pele, endeleeni na maigizo yenu, ikibidi mdeki barabara kabisaNdio maana huijui vzur Mwanza itakuwa ulipitishwa kwenye uchafu....Sasa una siku nne zoezi la usafi limeanza lini? Maana sio rahisi kusafsha mazingra kwa siku moja? Taa za barabaran unaongelea njia ipi?
Umemcc hayatiUnacheka nini madam?
πππ Vijana wanasema ni sawa na Alikiba kuvaa buti la JejeUmemcc hayati
Usitetea ni ukweli kabisaNdio maana huijui vzur Mwanza itakuwa ulipitishwa kwenye uchafu....Sasa una siku nne zoezi la usafi limeanza lini? Maana sio rahisi kusafsha mazingra kwa siku moja? Taa za barabaran unaongelea njia ipi?
Sikuendelea kumjibu kwa sababu Inaonekana yeye ni sehemu ya mfumo ambao haukutekeleza wajibu na wanafanya maigizo hivyo asingeyapenda maneno yaleUsitetea ni ukweli kabisa
Makongoro road taa zilikua haziawaki
Kenyata road kuanzia pale stand ya igombe had round about ya ccm kwenda nyerere road wamefunga taa za bulb ambazo zinawaka siku nzima.
Wanafanya maigizo tu hakuna jipya hapo
Hapo hizo taa zitawaka siku 3 tuSikuendelea kumjibu kwa sababu Inaonekana yeye ni sehemu ya mfumo ambao haukutekeleza wajibu na wanafanya maigizo hivyo asingeyapenda maneno yale
Ukipaliwa sababu ya kicheko niite nije kukupa first aidHahahahahaa jamani nacheka ghafla hapa jamanj.hahahahahaha
Uje na kinywaji tuUkipaliwa sababu ya kicheko niite nije kukupa first aid