Mwanza hapafai, msilinganishe na Arusha

Mwanza watu wake washamba washamba flan
Ni kweli kabisa bro, hujakosea, yani walivyo kaa law, lafudhi yao, mavazi yao duuu, basi tu. Hawa watani zangu sijui tu, yani hawataki kubadilika kabisa
 
Sema umepotea jijini wewe, watu wakuelekeze usilete ushamba wako hapa
 
Umetoka Arusha kufuata hivyo vitu Mwanza!
Kuna bora kanipoteza, eti mwanza mtaa wa Rwagasore eti Equipment hzo zipo kibao, shida yangu haikua Camera tu, hapana kuna vitu kibao nilitaka

Wazushi wanadai eti Mwanza wanachukulia vitu Uganda lakini pia eti wanauza bei nafuu, kumbe hakuna lolote

Wanaume wa Dar nakuja huko pia
 
Alaf ebu acha kulinganisha
Jj la R chuga na wilaya ya hawa waskuma washamba
Wa mwisho
 
Karibu Dar, kila kitu unapata! Hadi sangara na cha arusha unapata huku huku!
 
Alaf ebu acha kulinganisha
Jj la R chuga na wilaya ya hawa waskuma washamba
Wa mwisho
R chuga maana yake nini? Najua mnamaanisha arusha ila chanzo chake nini na maana yake nini mpaka mkaita arusha R chuga??
 
Mbona mim nilitafuta laptop i7 17" mpya brand yoyote nikakosa Dar nikaagiza nje ..pia nilitafuta arduino microcontroller dar 2015 nikakods nikaagiza ebay..nami niseme vp? Wafanyabiashara wanaleta mzigo kulingana na mahitaj ya wateja wao..usifikie conclusion bila kufikiria zaidi
 
Kumbe watani.
 
mkuu utakuwa umeshukia usagara kesho panda gari uje mjini utaipata hiyo kamera.
Siku nyingine usirudie kushuka bila kuuliza kama umefika kama hiyo sehem huijui
 
Nadhani ameelewa hiyo point yako aisee, watu wengine huwa hawajui kufikiri nini cha kuandika!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…