Kaka hao wezi tuu hawana lolote maana wanakusumbua unafanya iyo test yao kisha huyo mjinga anajiita Coordinator anaanza kutuma sms kukuambia sheet yako kaiona umpe ela akuite sasa hapo ukiituma ela umeliwa...ila Test yao inakua na English na maswali ya ufahamu na pia kuna hesabu za calculator sio ngumu ila zinachanganya kinoma na mda dakika 20...so jiandae kama upo interested na hao jamaa!!!Kwa wale waliofanya online uptitude test tusaidieni maswali mliokutana nayo, kabla na sisi tulioitwa kwa mara ya pili hatujafungua hiyo online test angalau tujue ndani kuna nini