min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,369 Reaction score 130,912 Feb 8, 2026 #8,041 Beira Boy said: Huja kosea umeandika huyu mgerasi min -me ni mume wako japo kuwa naona kisukuma chako cha mjini sana Click to expand... Hahaha umeona upige fix mgerasi
Beira Boy said: Huja kosea umeandika huyu mgerasi min -me ni mume wako japo kuwa naona kisukuma chako cha mjini sana Click to expand... Hahaha umeona upige fix mgerasi
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,329 Feb 8, 2026 #8,042 min -me said: Mwanza ni kwangu mgerasi , muulize Seran Click to expand... Anadai wewe shemeji ndo nashangaa hapa Maana wewe nakujua unaogopa sana wanawake
min -me said: Mwanza ni kwangu mgerasi , muulize Seran Click to expand... Anadai wewe shemeji ndo nashangaa hapa Maana wewe nakujua unaogopa sana wanawake
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,369 Reaction score 130,912 Feb 8, 2026 #8,043 Beira Boy said: Anadai wewe shemeji ndo nashangaa hapa Maana wewe nakujua unaogopa sana wanawake Click to expand... Hahahaa naogopa kivip bwashee
Beira Boy said: Anadai wewe shemeji ndo nashangaa hapa Maana wewe nakujua unaogopa sana wanawake Click to expand... Hahahaa naogopa kivip bwashee
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,329 Feb 8, 2026 #8,044 min -me said: Hahaha umeona upige fix mgerasi Click to expand... Hahahaa siyo fix mgerasi Ngoja nikutafasirie Ngosha - maana yake mwanaume One- maana yake wangu Kwahiyo yeye kaandika Ngoshi one yaan kwa kiswahili Mume wangu
min -me said: Hahaha umeona upige fix mgerasi Click to expand... Hahahaa siyo fix mgerasi Ngoja nikutafasirie Ngosha - maana yake mwanaume One- maana yake wangu Kwahiyo yeye kaandika Ngoshi one yaan kwa kiswahili Mume wangu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,369 Reaction score 130,912 Feb 8, 2026 #8,045 Beira Boy said: Hahahaa siyo fix mgerasi Ngoja nikutafasirie Ngosha - maana yake mwanaume One- maana yake wangu Kwahiyo yeye kaandika Ngoshi one yaan kwa kiswahili Mume wangu Click to expand... Ni kweli bwashee nataka nikachukue haka katoto ka kisukuma ๐
Beira Boy said: Hahahaa siyo fix mgerasi Ngoja nikutafasirie Ngosha - maana yake mwanaume One- maana yake wangu Kwahiyo yeye kaandika Ngoshi one yaan kwa kiswahili Mume wangu Click to expand... Ni kweli bwashee nataka nikachukue haka katoto ka kisukuma ๐
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,329 Feb 8, 2026 #8,046 min -me said: Hahahaa naogopa kivip bwashee Click to expand... Nakumbuka Kuna kidemu kimoja humu ndani kilikuwaga kinanisumbua sana kuwa nikifanyie mpango kwako, maana kilikuwaga kinasema kinakuelewa sana Lakin nakumbuka nilipokueleza ulisepa mazima Nimesahau I'd ya hicho kimchuchu
min -me said: Hahahaa naogopa kivip bwashee Click to expand... Nakumbuka Kuna kidemu kimoja humu ndani kilikuwaga kinanisumbua sana kuwa nikifanyie mpango kwako, maana kilikuwaga kinasema kinakuelewa sana Lakin nakumbuka nilipokueleza ulisepa mazima Nimesahau I'd ya hicho kimchuchu
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,025 Reaction score 42,329 Feb 8, 2026 #8,047 min -me said: Ni kweli bwashee nataka nikachukue haka katoto ka kisukuma ๐ Click to expand... Chukua bashwee usichelewe chelewe weka ndani mtoto ana adabu huyu hakuna mfano
min -me said: Ni kweli bwashee nataka nikachukue haka katoto ka kisukuma ๐ Click to expand... Chukua bashwee usichelewe chelewe weka ndani mtoto ana adabu huyu hakuna mfano
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,369 Reaction score 130,912 Feb 8, 2026 #8,048 Beira Boy said: Chukua bashwee usichelewe chelewe weka ndani mtoto ana adabu huyu hakuna mfano Click to expand... Seran kaka huyo๐
Beira Boy said: Chukua bashwee usichelewe chelewe weka ndani mtoto ana adabu huyu hakuna mfano Click to expand... Seran kaka huyo๐
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,369 Reaction score 130,912 Feb 8, 2026 #8,049 Beira Boy said: Nakumbuka Kuna kidemu kimoja humu ndani kilikuwaga kinanisumbua sana kuwa nikifanyie mpango kwako, maana kilikuwaga kinasema kinakuelewa sana Lakin nakumbuka nilipokueleza ulisepa mazima Nimesahau I'd ya hicho kimchuchu Click to expand... Hapo umepiga kamba mgerasi๐
Beira Boy said: Nakumbuka Kuna kidemu kimoja humu ndani kilikuwaga kinanisumbua sana kuwa nikifanyie mpango kwako, maana kilikuwaga kinasema kinakuelewa sana Lakin nakumbuka nilipokueleza ulisepa mazima Nimesahau I'd ya hicho kimchuchu Click to expand... Hapo umepiga kamba mgerasi๐
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,980 Reaction score 35,551 Feb 8, 2026 #8,050 Beira Boy said: Huja kosea umeandika huyu mgerasi min -me ni mume wako japo kuwa naona kisukuma chako cha mjini sana Click to expand... Nifundishe cha kijijini basi, sasa umemtag hapo ili aone navyojidhalilisha sio๐
Beira Boy said: Huja kosea umeandika huyu mgerasi min -me ni mume wako japo kuwa naona kisukuma chako cha mjini sana Click to expand... Nifundishe cha kijijini basi, sasa umemtag hapo ili aone navyojidhalilisha sio๐
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,980 Reaction score 35,551 Feb 8, 2026 #8,051 Beira Boy said: Anadai wewe shemeji ndo nashangaa hapa Maana wewe nakujua unaogopa sana wanawake Click to expand... Sijui walimfanya nini hawa viumbe๐ซข
Beira Boy said: Anadai wewe shemeji ndo nashangaa hapa Maana wewe nakujua unaogopa sana wanawake Click to expand... Sijui walimfanya nini hawa viumbe๐ซข
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,980 Reaction score 35,551 Feb 8, 2026 #8,052 min -me said: Seran kaka huyo๐ Click to expand... Kaka ananipa maua yangu! Mahali yangu ikitoka atapata ata kamkia tu
min -me said: Seran kaka huyo๐ Click to expand... Kaka ananipa maua yangu! Mahali yangu ikitoka atapata ata kamkia tu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,369 Reaction score 130,912 Feb 8, 2026 #8,053 Seran said: Kaka ananipa maua yangu! Mahali yangu ikitoka atapata ata kamkia tu Click to expand... Mgerasi muhimu lazima apate
Seran said: Kaka ananipa maua yangu! Mahali yangu ikitoka atapata ata kamkia tu Click to expand... Mgerasi muhimu lazima apate
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,369 Reaction score 130,912 Feb 8, 2026 #8,054 Seran said: Nifundishe cha kijijini basi, sasa umemtag hapo ili aone navyojidhalilisha sio๐ Click to expand... Mhmmm hakuna ulipo jidhalilisha ni ego zako tu
Seran said: Nifundishe cha kijijini basi, sasa umemtag hapo ili aone navyojidhalilisha sio๐ Click to expand... Mhmmm hakuna ulipo jidhalilisha ni ego zako tu
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,980 Reaction score 35,551 Feb 8, 2026 #8,055 Beira Boy said: Nakumbuka Kuna kidemu kimoja humu ndani kilikuwaga kinanisumbua sana kuwa nikifanyie mpango kwako, maana kilikuwaga kinasema kinakuelewa sana Lakin nakumbuka nilipokueleza ulisepa mazima Nimesahau I'd ya hicho kimchuchu Click to expand... Itakuwa ni mimi kaka๐
Beira Boy said: Nakumbuka Kuna kidemu kimoja humu ndani kilikuwaga kinanisumbua sana kuwa nikifanyie mpango kwako, maana kilikuwaga kinasema kinakuelewa sana Lakin nakumbuka nilipokueleza ulisepa mazima Nimesahau I'd ya hicho kimchuchu Click to expand... Itakuwa ni mimi kaka๐
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,980 Reaction score 35,551 Feb 8, 2026 #8,056 min -me said: Mhmmm hakuna ulipo jidhalilisha ni ego zako tu Click to expand... Ego tena! Broken kisukuma hiki
min -me said: Mhmmm hakuna ulipo jidhalilisha ni ego zako tu Click to expand... Ego tena! Broken kisukuma hiki
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 47,369 Reaction score 130,912 Feb 8, 2026 #8,057 Seran said: Ego tena! Broken kisukuma hiki Click to expand... Mhmmm ego kama ego na wewe
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,980 Reaction score 35,551 Feb 8, 2026 #8,058 min -me said: Mhmmm ego kama ego na wewe Click to expand... Ego kwa mpenzi wangu hahhaa never!
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,394 Reaction score 96,701 Feb 8, 2026 #8,059 Aliye busweru tujuane
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 11,980 Reaction score 35,551 Feb 8, 2026 #8,060 Intelligent businessman said: Aliye busweru tujuane Click to expand... Mimi hapa!