Hivi jiji kubwa ikitoka dar ni wap vile .....??? Maana usiweke ligi tu hapa ...na ukijibu nambie baada ya dar ni jiji gani lilifatia mupewa sifa ya jiji .
kuna mtu kauliza kama kuna five stars hotel mwanza. hotel zilizopo kwasasa hakuna five star ila zilizopo ni nzuri tutaupload picha zake. The only five star hotel ni ile ya nssf ambayo bado ipo kwenye ujenzi.
Hivi jiji kubwa ikitoka dar ni wap vile .....??? Maana usiweke ligi tu hapa ...na ukijibu nambie baada ya dar ni jiji gani lilifatia mupewa sifa ya jiji .
maneno kama haya ni ya mtanzania asiye a staha. kuwa mstaarabu madam we ni mtanzania unacholazimisha wewe udhi haukuruhusu. by the way kwanini tugombanie fito?