Tumeanza upya na update za Jiji
Mwaka mpya na mambo mapya
Tunamshukuru Mungu mpaka sasa baadhi ya miradi tuliyotamani ifanyike mwanza ipo kwenye hatua nzuri za kuanza
👇
Upanuzi wa barabara ya kenyata km 25 tender ilitangazwa mwezi wa 10 na kufungwa November 2024 ..Hadi sasa wako kwenye hatua za mwisho za kumpata mkandarasi
View attachment 3217787