Wadau kuna mtu alikuja na taarifa juu ya ujenzi wa mall mpya maeneo ya Nyakato ningependa kufahamu maandalizi/ujenzi umefika hatua gani na mradi ni wa taasisi binafsi au vinginevyo?