MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Dec 31, 2022 #6,941 Cha asubuhi said: Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri Click to expand... Inapakana na Kangabe?
Cha asubuhi said: Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri Click to expand... Inapakana na Kangabe?
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Dec 31, 2022 #6,942 Kitombile said: Milima tutaisingizia tu ni mipango miji mbona capripoint, isamilo na nyegezi ipo vizuri? Click to expand... Halafu hata hiyo Kishiri haina milima ya kutisha Kama Mwananchi, Mabatini,Bwiru,Igogo na Capripoint. Watu wanaisingizia tu. Issue ni barabara ya kwenda Kishiri, ni mbovu na Kishiri ilivyo kushoto watu wanai-underate. Ila Kishiri Ina maeneo mengi mnoo tambarare na mazuri.
Kitombile said: Milima tutaisingizia tu ni mipango miji mbona capripoint, isamilo na nyegezi ipo vizuri? Click to expand... Halafu hata hiyo Kishiri haina milima ya kutisha Kama Mwananchi, Mabatini,Bwiru,Igogo na Capripoint. Watu wanaisingizia tu. Issue ni barabara ya kwenda Kishiri, ni mbovu na Kishiri ilivyo kushoto watu wanai-underate. Ila Kishiri Ina maeneo mengi mnoo tambarare na mazuri.
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 31, 2022 #6,943 MoseKing said: Halafu hata hiyo Kishiri haina milima ya kutisha Kama Mwananchi, Mabatini,Bwiru,Igogo na Capripoint. Watu wanaisingizia tu. Issue ni barabara ya kwenda Kishiri, ni mbovu na Kishiri ilivyo kushoto watu wanai-underate. Ila Kishiri Ina maeneo mengi mnoo tambarare na mazuri. Click to expand... Yeah kishiri Iko vizuri sana ...na ndio kata yenye watu wengi zaidi wilaya ya nyamagana
MoseKing said: Halafu hata hiyo Kishiri haina milima ya kutisha Kama Mwananchi, Mabatini,Bwiru,Igogo na Capripoint. Watu wanaisingizia tu. Issue ni barabara ya kwenda Kishiri, ni mbovu na Kishiri ilivyo kushoto watu wanai-underate. Ila Kishiri Ina maeneo mengi mnoo tambarare na mazuri. Click to expand... Yeah kishiri Iko vizuri sana ...na ndio kata yenye watu wengi zaidi wilaya ya nyamagana
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 31, 2022 #6,944 Nguvu ya mama
N Ngokongosha JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 3,400 Reaction score 7,610 Dec 31, 2022 #6,945 Mikdde said: Nguvu ya mama Click to expand... Huyu mama mnampa sifa kwenye miradi ambayo siyo yake ndio maana halati miradi🤣🤣
Mikdde said: Nguvu ya mama Click to expand... Huyu mama mnampa sifa kwenye miradi ambayo siyo yake ndio maana halati miradi🤣🤣
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 31, 2022 #6,946 Ngokongosha said: Huyu mama mnampa sifa kwenye miradi ambayo siyo yake ndio maana halati miradi Click to expand... Uvccm wenzako hao
Ngokongosha said: Huyu mama mnampa sifa kwenye miradi ambayo siyo yake ndio maana halati miradi Click to expand... Uvccm wenzako hao
N Ngokongosha JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 3,400 Reaction score 7,610 Dec 31, 2022 #6,947 Mikdde said: Uvccm wenzako hao Click to expand... Mimi ni timu Bashiru
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 31, 2022 #6,948 Ngokongosha said: Mimi ni timu Bashiru Click to expand... ,,,akilambishwa asali .atatulia kama wenzie kina pole pole , msukuma na gwajima
Ngokongosha said: Mimi ni timu Bashiru Click to expand... ,,,akilambishwa asali .atatulia kama wenzie kina pole pole , msukuma na gwajima
N Ngokongosha JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 3,400 Reaction score 7,610 Dec 31, 2022 #6,949 Mikdde said: ,,,akilambishwa asali .atatulia kama wenzie kina pole pole , msukuma na gwajima Click to expand... Namhama
Mikdde said: ,,,akilambishwa asali .atatulia kama wenzie kina pole pole , msukuma na gwajima Click to expand... Namhama
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 31, 2022 #6,950 Ngokongosha said: Namhama Click to expand... Si utahama Kila mtu ..,dawa ni kutenganisha mafuta na maji ndani ya mfumo wa ccm ambao ni corrupt
Ngokongosha said: Namhama Click to expand... Si utahama Kila mtu ..,dawa ni kutenganisha mafuta na maji ndani ya mfumo wa ccm ambao ni corrupt
N Ngokongosha JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 3,400 Reaction score 7,610 Dec 31, 2022 #6,951 Mikdde said: Si utahama Kila mtu ..,dawa ni kutenganisha mafuta na maji ndani ya mfumo wa ccm ambao ni corrupt Click to expand... Peleka hii msg yako kwa wapinzani, wakikuelewa wote wakawa ccm, uje kwangu
Mikdde said: Si utahama Kila mtu ..,dawa ni kutenganisha mafuta na maji ndani ya mfumo wa ccm ambao ni corrupt Click to expand... Peleka hii msg yako kwa wapinzani, wakikuelewa wote wakawa ccm, uje kwangu
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 31, 2022 #6,952 Ngokongosha said: Peleka hii msg yako kwa wapinzani, wakikuelewa wote wakawa ccm, uje kwangu Click to expand...
Ngokongosha said: Peleka hii msg yako kwa wapinzani, wakikuelewa wote wakawa ccm, uje kwangu Click to expand...
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 1, 2023 #6,953 Buhongwa huko
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Jan 2, 2023 #6,954 Mikdde said: Buhongwa huko View attachment 2466025View attachment 2466026 Click to expand... Hayo Majaruba baada ya muda watapima viwanja
Mikdde said: Buhongwa huko View attachment 2466025View attachment 2466026 Click to expand... Hayo Majaruba baada ya muda watapima viwanja
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 2, 2023 #6,955 MoseKing said: Hayo Majaruba baada ya muda watapima viwanja Click to expand... Hivyo ni viwanja tayari ...
MoseKing said: Hayo Majaruba baada ya muda watapima viwanja Click to expand... Hivyo ni viwanja tayari ...
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Jan 2, 2023 #6,956 Mikdde said: Hivyo ni viwanja tayari ... Click to expand... Kuna siku nilizungumzia Majaruba hapa, mtu alinijia juu sana
Mikdde said: Hivyo ni viwanja tayari ... Click to expand... Kuna siku nilizungumzia Majaruba hapa, mtu alinijia juu sana
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 2, 2023 #6,957 MoseKing said: Kuna siku nilizungumzia Majaruba hapa, mtu alinijia juu sana Click to expand... ...namna ulivyo zungumzia .hata hivyo huku ni buhongwa mpakani na misungwi
MoseKing said: Kuna siku nilizungumzia Majaruba hapa, mtu alinijia juu sana Click to expand... ...namna ulivyo zungumzia .hata hivyo huku ni buhongwa mpakani na misungwi
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Jan 3, 2023 #6,958 Mikdde said: ...namna ulivyo zungumzia .hata hivyo huku ni buhongwa mpakani na misungwi Click to expand... Majaruba ya hivyo kwa Mwanza yako almost kila kona ukitoa maeneo ya zamani ya Jiji.
Mikdde said: ...namna ulivyo zungumzia .hata hivyo huku ni buhongwa mpakani na misungwi Click to expand... Majaruba ya hivyo kwa Mwanza yako almost kila kona ukitoa maeneo ya zamani ya Jiji.
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Jan 3, 2023 #6,959 MoseKing said: Majaruba ya hivyo kwa Mwanza yako almost kila kona ukitoa maeneo ya zamani ya Jiji. Click to expand... Mi nachojua hayo majaruba Mara nyingi yanakuwa ni open space,au maeneo ya serikali Kwa ajili ya uwekezaji....
MoseKing said: Majaruba ya hivyo kwa Mwanza yako almost kila kona ukitoa maeneo ya zamani ya Jiji. Click to expand... Mi nachojua hayo majaruba Mara nyingi yanakuwa ni open space,au maeneo ya serikali Kwa ajili ya uwekezaji....
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Jan 3, 2023 #6,960 Mikdde said: Mi nachojua hayo majaruba Mara nyingi yanakuwa ni open space,au maeneo ya serikali Kwa ajili ya uwekezaji.... Click to expand... Yawezekana. Ila kadri mji unavyokuwa hayo Majaruba watu huwa wanapima viwanja, tena sometimes wanawekaga greda linasawazisha.
Mikdde said: Mi nachojua hayo majaruba Mara nyingi yanakuwa ni open space,au maeneo ya serikali Kwa ajili ya uwekezaji.... Click to expand... Yawezekana. Ila kadri mji unavyokuwa hayo Majaruba watu huwa wanapima viwanja, tena sometimes wanawekaga greda linasawazisha.