Bwiru nimeirusha mbali Kwa sababu hiiMbona bwiru umeirusha mbali sana mkuu kwanini naomba facts hapa kwa bwiru kwani me najua bwiru na capripoint zinakimbizana ata mijengo mingi ya ghorofa na mandhari safi ya ziwa.
Mwananchi inatoa challenge kubwa Kwa bwiru..Bwiru nimeirusha mbali Kwa sababu hii
Sioni
barabara nzuri.
Ukuaji wake sio active sana
Ni padogoView attachment 2452576
Bwiru ni kubwa sana mkuu na watu hawajengi nyumba za kawaida pia kunabarabara ya lami ipo hapo breweries na inaenda kuungana na ya bwiru misufini kupitia maeneo ya chuo cha mipango, nakubaliana na ishu ya barabara lakini kimajengo bwiru ni mdeadly.Bwiru nimeirusha mbali Kwa sababu hii
Sioni
barabara nzuri.
Ukuaji wake sio active sana
Ni padogoView attachment 2452576
Mwananchi si level ya bwiru akashindane kwanza na nyasaka then aende kwa wakina isamilo then aje battling na Bwiru.Mwananchi inatoa challenge kubwa Kwa bwiru..View attachment 2452579View attachment 2452581View attachment 2452582
Sijasema bwiru ni pabovu .. bwiru ni eneo zuri tu .ila kwenye rank nimeliweka namba 4 Kwa sababu,nimeangalia vigezo hiviBwiru ni kubwa sana mkuu na watu hawajengi nyumba za kawaida pia kunabarabara ya lami ipo hapo breweries na inaenda kuungana na ya bwiru misufini kupitia maeneo ya chuo cha mipango, nakubaliana na ishu ya barabara lakini kimajengo bwiru ni mdeadly.
Mwananchi sio eneo la kutania Kuna Matycoon wa kikurya wamejenga apartment zao huko ..NB kisire na batco na mijengo Yao hapoMwananchi si level ya bwiru akashindane kwanza na nyasaka then aende kwa wakina isamilo then aje battling na Bwiru.
Unasemea bwiru ipi rafiki yangu ili nijue, kama unaijua bwiru๐๐๐๐๐Mwananchi sio eneo la kutania Kuna Matycoon wa kikurya wamejenga apartment zao huko ..NB kisire na batco na mijengo Yao hapo
Mwanza baada ya Capri point ni Bwiru, Ilemela na Isamilo ndio wanakuja akina Mwananchi na Nyansaka/ KisekeUnasemea bwiru ipi rafiki yangu ili nijue, kama unaijua bwiru
Una mawazo kama yangu mkuu moses swai.Mwanza baada ya Capri point ni Bwiru, Ilemela na Isamilo ndio wanakuja akina Mwananchi na Nyansaka/ Kiseke
The place to watch out now ni Kirumba Ibanda
Mikkde haipendi bwiru, bwiru kwa sasa ndio eneo pekee linaloweza shindana na capripoint, mengine bado sanaMwanza baada ya Capri point ni Bwiru, Ilemela na Isamilo ndio wanakuja akina Mwananchi na Nyansaka/ Kiseke
The place to watch out now ni Kirumba Ibanda
Ukweli ndio huu miji mingi Mwanza haziwezi kuonesha mabavu kwa capripoint lakini bwiru pekee ndio mji bora unaoweza kushindana au ata kuizid capripoint.Mikkde haipendi bwiru, bwiru kwa sasa ndio eneo pekee linaloweza shindana na capripoint, mengine bado sana
Pia bwiru inapotential, beach zake bado hazijawekezwa, wakati capripoint kunajaaUkweli ndio huu miji mingi Mwanza haziwezi kuonesha mabavu kwa capripoint lakini bwiru pekee ndio mji bora unaoweza kushindana au ata kuizid capripoint.
Ilemela mitaa ya malaika panatisha sana ni kama hawaii.View attachment 2453525
Ila huku malaika nyumba zinazojengwa ni hatari
Jenga nasi inaonekana wanatender nyingi sana Mwanza, Hizi Nyumba za kwenye rocks si ni ghari sanaView attachment 2453525
Ila huku malaika nyumba zinazojengwa ni hatari
Maeneo kama haya yawekewe miundombinumajiji yetu ya Africa kwa picha yanapendeza....katiza mitaa yake live ujionee uhovyo wake.!
kuna maeneo ukienda kwenye jiji la dar yanatoa hadi harufu mtaani, jiji la hovyo,ustaarabu hovyo..Dar wanaokula maisha wachache sana na inahitaji pesa mingi sana kuishi kama mbele.Maeneo kama haya yawekewe miundombinu
Lile jiji Wamelipanua sana, Africa jiji linasambaa lakin Majiji ya Wenzetu hayasambai bali wanajenga Vertical City, Ivo kuweka miundombinu Dar ni sawa na Bureekuna maeneo ukienda kwenye jiji la dar yanatoa hadi harufu mtaani, jiji la hovyo,ustaarabu hovyo..Dar wanaokula maisha wachache sana na inahitaji pesa mingi sana kuishi kama mbele.