Dodoma na arusha wanausafiri mbaya sana ,hususani arusha vifodi vyao vimechoka sanaKwanza mwanza ni Moja ya miji yenye daladala nzuri..nimekaa dodoma ,daladala za kule vyuma chakavu vyenye injini .
.hasa ruti ya st gema ,na mnada Mpya ,,,...
Ongeza na hii nadhani itakusaidiaNimekutana na hii post kwenye wizara ya ujenzi....
Kuna mtu mwenye maelezo juu ya jengo la abilia uwanja wa ndege wa Mwanza...?View attachment 2422996
Beach gani hii..imekaa poa sana.
WaghilBeach gani hii..imekaa poa sana.
#MaendeleoHayanaChama
Hawa waghill ni noma sana
Waste of good money, hivi nani anajenga majengo ya ovyo kama haya siku hizi?
Serikali hata isijisumbue kuweka pesa nyingi kwenye ujenzi wa airport za mikoa ambayo haipokei wasafiri wengi Kwa mwaka na badala yake airport za mikoa mikubwa kwanza....mwanza airport inaitaji modernization ya Hali ya juu sana. Ipanuliwe, jengo la abilia, runway ziongezwe hata control tower inatakiwa iwekwe mpya ya kisasa. Airport za vijijini hazitaridisha pesa mapema kulinganisha na za miji mikubwa.Ongeza na hii nadhani itakusaidia
View attachment 2423021
Runway ya mwanza nazani longest kwa hapa Tanzania, contro tower pia ni ya kisasa na ata rada ni za kisasa, kitu cha msingi ni jengo la kisasa kubwa la abiria yaani tuwena terminal I and II za kisasa.Serikali hata isijisumbue kuweka pesa nyingi kwenye ujenzi wa airport za mikoa ambayo haipokei wasafiri wengi Kwa mwaka na badala yake airport za mikoa mikubwa kwanza....mwanza airport inaitaji modernization ya Hali ya juu sana. Ipanuliwe, jengo la abilia, runway ziongezwe hata control tower inatakiwa iwekwe mpya ya kisasa. Airport za vijijini hazitaridisha pesa mapema kulinganisha na za miji mikubwa.
Ila pia muda umefika hivi vidaladala vidogo vitolewe katikati ya mji viplekwe misasi huko au magu...mjini zibaki Costa tu.
Tuoneshe hospitali yako ambayo ina jengo bora kuliko hili iwe ni tahasisi binafsi au private owner.Waste of good money, hivi nani anajenga majengo ya ovyo kama haya siku hizi?
Ajue tu kuwa hiyo ni hospitali ya kabisa la wasabato. It is a big investment to them.Tuoneshe hospitali yako ambayo ina jengo bora kuliko hili iwe ni tahasisi binafsi au private owner.
Hawa ni mamluki tu, nimemwambie aoneshe jengo la kisasa la hospital private kuliko hili, simuoni sijui kapotelea wapi?Ajue tu kuwa hiyo ni hospitali ya kabisa la wasabato. It is a big investment to them.
Wakuu wekeni picha, mnatuchanganya sana sisi wa mikoani 😛 😛 😛Lile gorofa la royal hospital limependeza kinoma aisee sasa manispaa waweke taa sasa hayo maeneo
Intelligent man unakwama wapi? Sie tunataka au tunaomba kusifia kwako kuendane na picha!Wakuu wekeni picha, mnatuchanganya sana sisi wa mikoani 😛 😛 😛
Jamaa ni story teller sio mhabarishajiIntelligent man unakwama wapi? Sie tunataka au tunaomba kusifia kwako kuendane na picha!
Ni mzuri sana kusimulia, ila namshauri hawe anapiga picha ata kama ni kwa kuibia tu.Jamaa ni story teller sio mhabarishaji