Barabara ya kuanzia buzuruga kupitia mecco adi nyakato sokoni wameipendezesha kwa kuiwekea lami ngumu na njia ya watembea kwa miguu, kwa kweli barabara ilikuwa imechoka sana, shukurani kwa halmashauri ya ilemela, kupita tarura, pia hongera kwa mkandarasi Nyanza company hii barabara sasa ni kiwango.