Nitakuja tena, maana safari nilizokuja huko, mara mbili nilifikia Monarch Hotel, nadhani ipo Kirumba maana nilikuwa natembelea maeneo ya Uwanja wa Kirumba na Furahisha, mara nyingine nilipokuja nikafikia Tai Five, kama sikosei ipo pale wanapopaita kona ya Bwiru, na mara ya mwisho nilifikia Gold Crest Hotel, hapo city centre (nililala siku moja kisha tukaenda Nansio, Ukerewe)... Dah, nili-enjoy sana aisee...