Ata mimi namshukuru sana Rais samia kwa kutupatia mkuu wa mkoa kama huyu, ni aina ya wakuu wa mikoa wenye uzalendo wa kweli na wapiga kazi na si mtu wa kukaa ofisini, ni mfatiliaji mkubwa wa miradi, naomba aendelee kuwa na moyo huo.mongela hakuwa serious bora engineer ana sura ya kazi
Kasoro mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya nyamagana wengine wote ni mapazia tu.Kwa staili hiyo Mwanza ina viongozi wavivu sana!! Haswa ilemela,!!
Ilemela miaka mingi imekuwa na DC waliolala, ila kwa huyu wa sasa hivi kazi anapiga. Ana account instagram na facebook. Kazi zake nyingi huwa ana update kule Login โข InstagramKasoro mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya ya nyamagana wengine wote ni mapazia tu.
Hakika Mwanza inakua sana, haya ni maeneo ya Igombe.
View attachment 2044469
View attachment 2044470
Mitaa ya rufiji ๐ฅ๐ฅ๐ฅBaadhi ya majengo yanayojengwa jijini Mwanza๐๐
View attachment 2107583
View attachment 2107584
View attachment 2107585
View attachment 2107586
View attachment 2107587
View attachment 2107588
View attachment 2107590
View attachment 2107591
View attachment 2107592
View attachment 2107595
Huku kulikuwa ni uswaz sana lkn sasa ni maghorofa yenye 10+ floor ndo yanajengwa.Mitaa ya rufiji ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Kasi inaendelea
Umeiweka kitaalamu sana.Jiji la Mwanza ni jiji la pili kwa ukubwa na kwa uchumi nchini Tanzania, mfumo wa uchumi wa Mwanza unategemea zaidi private sector, mashirika na taasisi binafsi.
Watu wamekuwa wakijiuliza kama Mwanza ni jiji kubwa kiuchumi na kibiashara kwa nini mapato ya halmashauri ni madogo kulinganisha na mji kama Dodoma?, jibu ni kwamba jiji la Mwanza ni jiji la kipebali mfumo mkubwa wa uchumi haumilikiwi na serikali, mfano vitega uchumi vya halmashauri/serikali ni vichache kulinganisha na Dodoma au miji mingine so halmashuri haina huwezo wa kuvuna mazao mengi sehemu ambayo hawalima vya kutosha, huwekezaji wa serikali kwa jiji kama Dodoma ni mkubwa na ndio maana ata makisio yao ya ukusanyaji wa mapato unakuwa tofauti kati ya sehemu moja na sehemu nyingine, mapato makubwa ya halmashauri ina maanisha serikali imeweka nguvu kubwa huko.
NB: Mapato makubwa ya halmashauri hayamaanishi kuwa uchumi wa mji huo ni mkubwa la asha, kiwango cha uchumi kinapimwa na GDP ndo maana Dodoma na Arusha zimeachwa mbali sana kiuchumi na Mwanza kwa kuangakia vigezo vya kiuchumi.
Hapo ni Pasiansi
I miss the city.Baadhi ya majengo yanayojengwa jijini Mwanza๐๐
View attachment 2107583
View attachment 2107584
View attachment 2107585
View attachment 2107586
View attachment 2107587
View attachment 2107588
View attachment 2107590
View attachment 2107591
View attachment 2107592
View attachment 2107595
YapHapo ni Pasiansi