Watu walificha hela kipindi cha maghufuli, nilitoka mwanza mwaka jana mwishoni kulikuwa hamna construction ya maana kabisa mwanza , ukitoa miradi ya serikali kama barabara , stendi na masoko, yaani mji ulisimama kabisa upande wa maghorofa , nimerudi juzi aisee mitaa ya Uhuru na rufiji ni amsha Sana , maghorofa yanapanda Kwa Kasi Sana ...!