Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Nyuzi za Arusha Vs Mwanza zpo nyingi Sana , tushapeleka Uzi mpak thread ya mia na kitu huko tukibishana mwanza Vs Arusha , nenda huko ukaaupdate Wana watakuja...hapa unapoteza mda tuu , yaani mpka bar za Arusha zishapostiwa....unaharibu maudhui ya huu Uzi wa wanamwanza na vipicha vya Arusha mkuu
Huoni kama huko ni kuendeleza Mada hapa😥
 
Kemondo
179886684_509382890229165_769926992559920987_n.jpeg
 
Nyuzi za Arusha Vs Mwanza zpo nyingi Sana , tushapeleka Uzi mpak thread ya mia na kitu huko tukibishana mwanza Vs Arusha , nenda huko ukaaupdate Wana watakuja...hapa unapoteza mda tuu , yaani mpka bar za Arusha zishapostiwa....unaharibu maudhui ya huu Uzi wa wanamwanza na vipicha vya Arusha mkuu
Kapotea njia huyu charii ya'R.
 
Back
Top Bottom