Mwanza City: The Photo Gallery

Huu huzi ni kwaajili ya picha za jiji la Mwanza na project mbalimbali zinazoendelea hapa Mwanza, kama mnataka kupost picha zenu nenda kwenye gallery yenu, na kama mnataka ushindani kuna thread za Mwanza vs kisumu, Mwanza vs arusha.Naomba ustaharabu uzingatiwe.
Yeah ustarabu uzingatiwe kungekua na uwezekano watu kama hao ni wakupiga spana tu
 
Soon nafungua Uzi wa Mwanza vs Arusha, watafuna mirungi mtudhihirishie maneno yenu kuwa Arusha ni bora kuliko Mwanza maana mmeanza kutuharibia Uzi wetu . wote mlioko humu nawaqoute ili huu upuuzi tuumalize
 
So clean
182322811_512820539885400_7107344825297415733_n.jpeg
 
naona michongo ya kuwahi basi enzi za utoto,nawe unajiona kama mmiliki kweli wa bus, tafuteni pesa
 
Back
Top Bottom