Mwanza: Benki yavamiwa

Mwanza: Benki yavamiwa

mirinda tamu

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
76
Reaction score
27
Wanajamii



Benki Ya Amana Tawi La Mwanza limevamiwa na majambazi wenye seilaha nzito na kufanikiwa kuiba kiasi kikubwa cha fedha.

Bado nafuatilia kujua kama kuna mtu yoyote aliejeruhiwa ama kuuwawa katika tukio hili la ujambazi wa kutisha.
 
Du! si ajabu polisi wakasema ni magaidi ndio waliovamia.
 
wahamiaji haramu hao bila shaka hata CHADEMA pia wanahusika
 
Wanajamii



Benki Ya Amana Tawi La Mwanza limevamiwa na majambazi wenye seilaha nzito na kufanikiwa kuiba kiasi kikubwa cha fedha.

Bado nafuatilia kujua kama kuna mtu yoyote aliejeruhiwa ama kuuwawa katika tukio hili la ujambazi wa kutisha.

Iliyopo karibu na Shinyanga Guest house?
 
Si mmesema huko mwanza polisi wamefanya mazoez hapo ppf au? Yan polis wanafanya mazoez na majambaz yanabeba hela
 
kuna mada humu kuhusu risasi mwz na ikadaiwa kuwa ni mazoezi ya polisi na sasa tena ni majambazi kuna uhusiano wowote?
 
Watu wengine humu wanaongea kama vile wako chooni wanakata gogo, ccm wanapoli?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Amana si bank ya kiislamu hiyo! Sasa ule ujambazi wa kupora mabenki, uliokuwa umeshamiri kipindi cha mahita sasa umerudi tena...
 
Matukio haya yote mara nyingi huwa ni 'inside job'
 
I'll hit u
says Kagame
Nilikua mitaa ya mwanza hotel tumeshudia show nzuri gold crest hotel hakuna uhakika inasemekana polisi walikua wanafanya mazoezi ya kuzuia ugaidi! Mabomu mazito na risasi zimepigwa! Ngoja nijaribu kuweka picha.aisee kumbe noma mlio wa bomu ukisikika fahamu ya kuchukua picha inatoka!
 
Polisi imejipanga MATUKIO kama haya yasitokee tena!!!!!
leo nimesikia redioni asubuhi kwamba mtuhumiwa akikubali kosa atasamehewa kupunguza gharama za kuenesha jela... matukio kama haya yatashindwaje kutokea tena???
 
Hawaachi kutuhabarisha,msako mkali umeanza,tunaendelea na uchunguzi,epelelezi haujakamilika.
 
Ni mazoezi ya anti terrolism,kuanzia tarehe 12 kuna maonyesho ya siku ya Wasiria?? nadhani kuna high profile delegation inafikia hapo,hiyo inaitwa table top simulation exercise ya terrolism
 
Back
Top Bottom